Daily Archives: September 10, 2015

RAIS KIKWETE APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO ZA MABALOZI WAPYA WA FINLAND NA SWEDEN IKULU JIJINI DAR ES SALAAM SEPTEMBA 9,2015

2Balozi mpya wa Finland nchini Bw. Pekka Hukka akisanini kitabu cha wageni alipowasili Ikulu jijini Dar es salaam kuwasilisha hati za utambulisho kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete leo Septemba 9, 2015 3frgrghBalozi mpya wa Finland nchini Bw. Pekka Hukka akiwasilisha hati za utambulisho kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 9, 2015 7hjjjnnBalozi mpya wa Sweden nchini Bi. Katrina Ranngitt  akiwasilisha hati za utambulisho kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam Septemba 9, 2015 9Balozi mpya wa Sweden nchini Bi. Katrina Ranngitt  akiwa katika mazungumzo na  Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 9, 2015