Daily Archives: September 11, 2015

RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE AAGANA NA WAFANYAKAZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA YA HAKI ZA BINADAMU SEPTEMBER 10, 2015

1

2gbgnhn

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Wa Mahakama ya Afrika ya Haki za binadamu Jaji Agustino Ramadhani wakizindua kitabu cha taarifa za msingi kuhusu mahakama hiyo kwenye Ukumbi wa Kibo kwenye majengo ya Mahakama hiyo mjini Arusha Septemba 10,2015 .Rais Kikwete alitumia fursa hiyo kuagana na viongozi na wafanyakazi wa mahakama hiyo.

3

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwahutubia wafanyakazi na viongozi wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu mjini Arusha September 10,2015

6 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na viongozi na wafanyakazi wa Mahakama ya aFrika ya Haki za binadamu mjini Arusha wakati Rais alipotoa hotuba ya kuwaaga

8Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha wageni katika ofisi ya Rais wa Mahakama ya Afrika na Haki za Binadamu iliyopo mjini Arsuha huku Rais wa Mahakama hiyo Jaji Agustino Ramadhani kulia akishuhudia