Daily Archives: September 12, 2015

RAIS KIKWETE ATUNUKU KAMISHE KWA MAAFISA WAPYA WA JWTZ MONDULI ARUSHA SEPTEMBER 12,2015

2

Amiri Jeshi Mkuu Dkt.Jakaya Mrisho akiwa katika gari maalum la wazi na Mkuu wa Chuo cha maafisa wa Jeshi(TMA) Monduli akiingia katika uwanja wa paredi tayari kwa kutunuku kamisheni kwa maafisa wapya wa jeshi leo.

1

Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua gwaride muda mfupi kabla ya kutunuku Kamisheni kwa maafisa wapya wa Jeshi katika Chuo cha Jeshi Monduli leo.

3Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpa zawadi Afisa mwanafunzi bora Luteni Usu Antony Shija wakati wa sherehe za kutunuku kamisheni kwa maafisa wapya leo katika chu cha jeshi TMA Monduli leo.

4sdvvv

Amiri Jeshi Mkuu Rasi Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa  zawadi kwa afisa mwanafunzi bora wa kike Luteni Usu Martina James Shija  wakati wa sherehe za kutunuku kamisheni kwa maafisa wapya wa jeshi katika chuo hca jeshi Monduli September 12,2015

5

Amiri jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitunuku kamisheni

6Maafisa wapya wa Jeshi wakila kiapo mbele ya Amiri jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete

7

 

9

 Amiri jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipokea zawadi  

10Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange akimkabidhi Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete zawadi ya picha akiwa katika gari la wazi katika sherehe za awali chuoni hapo, na kitara pamoja na nembo maalum ya jeshi kwa kutambua mchango wake katika kuliboresha na kulifanya la kisasa Jeshi la Wananachi wa Tanzania wakati wa Sherehe za kutunuku l\kamisheni kwa maafisa wapya wa jeshi katika chuo cha jeshi Monduli leo.

11

 

Amiri jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia zawadi ya ramani ya chuo cha kijeshi cha monduli aliyopewa 

12Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiiangalia picha ya kuchora ya Mkewe Mama Salma Kikwete aliyoipokea kwa niaba yake