Daily Archives: September 16, 2015

RAIS KIKWETE AKAGUA MAENDELEO YA KITUO CHA MICHEZO KWA VIJANA CHA KIDONGO CHEKUNDU DAR ES SALAAM SEPTEMBER 16, 2015

1

 

Kituo cha Michezo kwa vija na cha Kidongo Chekundu jijini Dar es salaam kinavyoonekana kutoka angani

3

Rais Jakaya Mrisho kikwete akitembezwa na Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya umeme ya Symbion Bw. Paul Hicks wakati akikagua maendeleo ya ujenzi wa kituo cha kisasa cha Michezo kwa vijana cha Kidongo Chekundu jijini Dar es salaam leo Septemba 16, 2015. Kituo hicho kinajengwa kwa msaada wa Klabu ya Sunderland ya Uingereza na kampuni ya symbion

5

 

6

 

RAIS KIKWETE AZINDUA MAJENGO PACHA YA GHOROFA 35 YA PSPF TOWERS MTAA WA SOKOINE JIJINI DAR ES SALAAM SEPTEMBER 16, 2015

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Mkurugenzi Mkuu wa mfuko wa pensheni wa PSPF Bw. Adam Mayingu alipowasili kuzindua majengo pacha ya ghorofa 35 ya PSPF TOWERS mtaa wa Sokoine jijini Dar es salaam leo Septemba 16, 2015

 Mrisho Mpoto na Mjomba Band wakitumbuiza kwenye sherehe za majengo pacha ya ghorofa 35 ya PSPF TOWERS mtaa wa Sokoine jijini Dar es salaam leo Septemba 16, 2015

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Mkurugenzi Mkuu wa PPF Bw. William Erio na Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Dr. Ramadhani Dau  alipowasili kuzindua majengo pacha ya ghorofa 35 ya PSPF TOWERS mtaa wa Sokoine jijini Dar es salaam leo Septemba 16, 2015

 majengo pacha ya ghorofa 35 ya PSPF TOWERS mtaa wa Sokoine jijini Dar es salaam yaliyozindulia  leo Septemba 16, 2015

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea jambo na  Mkurugenzi Mkuu wa mfuko wa pensheni wa PSPF Mkurugenzin Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu katika sherehe za kuzindua majengo pacha ya ghorofa 35 ya PSPF TOWERS mtaa wa Sokoine jijini Dar es salaam leo Septemba 16, 2015

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete hutubia kabla ya kuzindua rasmi majengo pacha ya ghorofa 35 ya PSPF TOWERS mtaa wa Sokoine jijini Dar es salaam leo Septemba 16, 2015

 Sehemu ya wageni na wafanyakazi wa PSPF  kuzindua majengo pacha ya ghorofa 35 ya PSPF TOWERS mtaa wa Sokoine jijini Dar es salaam leo Septemba 16, 2015

 Makandarasi waliojenga majengo pacha hayo wakisimama kutambuliwa

 Makandarasi waliojenga majengo pacha hayo wakisimama kutambuliwa

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akijaza fomu kujiunga na mfuko wa pensheni wa PSPF kwenye sherehe hizo. Kulia ni Naibu waziri wa Fedha Mhe. Adam Kighoma Malima. Kulia kwa Rais ni Mwenyekiti wa Bodi ya PSPF Mhe. George Yambesi na kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa mfuko wa pensheni wa PSPF Bw. Adam Mayingu 

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea mfano wa kadi kwa ajili ya Mama Salma Kikwete ambaye pia amejiunga na mfuko wa pensheni wa PSPF kwenye sherehe hizo. Kulia ni Naibu waziri wa Fedha Mhe. Adam Kighoma Malima. Kulia kwa Rais ni Mwenyekiti wa Bodi ya PSPF Mhe. George Yambesi na kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa mfuko wa pensheni wa PSPF Bw. Adam Mayingu 

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea mfano wa kadi yake baada ya kujiunga mfuko wa pensheni wa PSPF kwenye sherehe hizo. Kulia ni Naibu waziri wa Fedha Mhe. Adam Kighoma Malima. Kulia kwa Rais ni Mwenyekiti wa Bodi ya PSPF Mhe. George Yambesi na kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa mfuko wa pensheni wa PSPF Bw. Adam Mayingu 

   Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka alama ya dole kwenye fomu yake ya uanmachama baada ya kujiunga mfuko wa pensheni wa PSPF kwenye sherehe hizo. Kulia ni Naibu waziri wa Fedha Mhe. Adam Kighoma Malima. Kulia kwa Rais ni Mwenyekiti wa Bodi ya PSPF Mhe. George Yambesi na kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa mfuko wa pensheni wa PSPF Bw. Adam Mayingu 

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na  na Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Dr. Ramadhani Dau  na Mkurugenzi Mkuu wa PPF Bw. William Erio kwenye sherehe zsa  kuzindua majengo pacha ya ghorofa 35 ya PSPF TOWERS mtaa wa Sokoine jijini Dar es salaam leo Septemba 16, 2015

 Rais Kikwete na msanii Mrisho Mpoto baada ya kuzindua majengo pacha ya PSPF

 Rais Kikwete akikagua sehemu ya majengo hayo

 Rais Kikwete katika picha ya pamoja na viongozi na wakuu wa mifuko ya pensheni

 Rais Kikwete na viongozi wengine wakifurahia sanamu ya ukutani inayopamba eneo la mapokezi

 Rais Kikwete akiwa na Bodi ya PSPF

 Wakurugenzi wa vitengo mbalimbali vya PSPF

 Makandarasi wazalendo waliojenga majengo pacha ya PSPF Towers

 Watumishi wa PSPF

 Rais Kikwete akifungua mabango kuzindua sanamu kubwa ya PSPF

 Rais Kikwete akifunua pazia kuzindua rasmi majengo pacha ya PSPF TOWERS

 Rais Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi majengo pacha ya PSPF TOWERS

 Rais Kikwete akipokea zawadi ya picha ya PSPF Towers na Bw. George Yambesi