Daily Archives: October 2, 2015

RAIS KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA TISA CHA BARAZA LA TAIFA LA BIASHARA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM OCTOBA 02, 2015

 Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiendesha kikao cha tisa cha baraza hilo katika ukumbi wa mikutano Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 2, 2015

  Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiendesha kikao cha tisa cha baraza hilo katika ukumbi wa mikutano Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 2, 2015

 Ofisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (Brela), Bw.  Frank Kanyusi akitoa maelezo kuhusu wavuti mpya ya wakala huo ambayo kuanzia sasa mteja atakuwa anajisajili yeye mwenyewe kupitia huduma hiyo ya mtandaoni

  Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiendesha kikao cha tisa cha baraza hilo katika ukumbi wa mikutano Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 2, 2015

   Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizindua rasmi wavuti mpya ya BRELA  ambayo kuanzia sasa mteja atakuwa anajisajili yeye mwenyewe kupitia huduma hiyo ya mtandaoni

 Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mwenyekiti  mweza wa baraza hilo wakifurahia baada ya kuzindua rasmi wavuti mpya ya BRELA  ambayo kuanzia sasa mteja atakuwa anajisajili yeye mwenyewe kupitia huduma hiyo ya mtandaoni

 Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha na watendaji wa Taasisi ya Sekta Binafsi nchini (TPSF)   wakati wa kikao cha tisa cha baraza hilo katika ukumbi wa mikutano Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 2, 2015

Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha na wana TNBC  katika ukumbi wa mikutano Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 2, 2015.