Daily Archives: October 11, 2015

RAIS WA NAMIBIA AANZA ZIARA YA SIKU MBILI NCHINI TANZANIA

 
 Ndege ya Rais ikiwasili.
  Rais wa Namibia, Hage Geingob akilakiwa na Rais Jakaya Kikwete mara baada ya kuwasili leo kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), jijini Dar es Salaam kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku mbili.
 Rais Jakaya Kikwete akimkaribisha mgeni wake Rais wa Namibia, Hage Geingob.
 
  Rais wa Namibia, Hage Geingob akisalimiana na mke wa rais Jakaya Kikwete mara baada ya kuwasili nchini kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku mbili.
 Rais wa Namibia, Hage Geingob akipokea maua kutoa kwa mtoto, Elizaberth Jackson mara baada ya kuwasili leo kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), jijini Dar es Salaam kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku mbili.
  Rais wa Namibia, Hage Geingob akipeana mkono na mtoto Elizaberth Jackson mara baada ya kupokea maua. 
 Rais wa Namibia, Hage Geingob akipigiwa mizinga 21.
 Gwaride la heshima.
 Rais wa Namibia, Hage Geingob akikagua gwaride la heshima mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.

Rais wa Namibia Mhe Hage Geingob  na mwenyeji wake Rais Jakaya Kikwete wakicheza muziki wa Brass Band walipokuwa wakiangalia vikundi vya burudani vilivyokuwa vikitumbuiza leo kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), jijini Dar es Salaam. 

RAIS KIKWETE AZINDUA KIWANDA CHA SARUJI CHA DANGOTE MTWARA OKTOBA 10,2015

1 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe Halima Denengo na mmiliki wa kiwanda kipya cha Saruji cha Dangote Alhaj Aliko Dangote (nyuma yao) wakati wa sherehe za kuzindua kiwanda hicho kikubwa kuliko viwanda vyote vya saruji Afrika Mashariki huko Mtwara Jumamosi Oktoba 10, 2015 

2 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na  Alhaj Aliko Dangote na ujumbe wake kutoka Nigeria wakipata picha ya kumbukumbu wakati wa sherehe za kuzindua kiwanda hicho kikubwa kuliko viwanda vyote vya saruji Afrika Mashariki huko Mtwara Jumamosi Oktoba 10, 2015

3

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na  Alhaj Aliko Dangote na familia yake na ujumbe wake kutoka Nigeria wakipata picha ya kumbukumbu wakati wa sherehe za kuzindua kiwanda hicho kikubwa kuliko viwanda vyote vya saruji Afrika Mashariki huko Mtwara Jumamosi Oktoba 10, 2015

4

Sehemu ya wafanyakazi wa kiwanda kipya cha Saruji cha Dangote Alhaj Aliko Dangote  wakati wa sherehe za kuzindua kiwanda hicho kikubwa kuliko viwanda vyote vya saruji Afrika Mashariki huko Mtwara Jumamosi Oktoba 10, 2015 

5 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na  Alhaj Aliko Dangote wakikata utepe kuashiria  kuzindua rasmi kiwanda cha saruji cha Dangote ambacho ni kikubwa kuliko viwanda vyote vya saruji Afrika Mashariki huko Mtwara Jumamosi Oktoba 10, 2015 

6 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na  Alhaj Aliko Dangote wakifunua pazia kuashiria  kuzindua rasmi kiwanda cha saruji cha Dangote ambacho ni kikubwa kuliko viwanda vyote vya saruji Afrika Mashariki huko Mtwara Jumamosi Oktoba 10, 2015

7

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo kutoka kwa Mhandisi wa uzalishaji Bi. Mbumi Mwampeta (23) kuhusu uzalishaji wa satuji kwa njia za kisasa baada ya  kuzindua rasmi kiwanda cha saruji cha Dangote ambacho ni kikubwa kuliko viwanda vyote vya saruji Afrika Mashariki huko Mtwara Jumamosi Oktoba 10, 2015