Daily Archives: October 14, 2015

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT.JAKAYA MRISHO KIKWETE AONGOZA SHEREHE ZA KILELE CHA MAADHIMISHO YA KUZIMA MWENGE DODOMA OKTOBA 14,2015

1n n, bn,b ,

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika uwanja wa michezo wa Jamhuri mjini Dodoma na kuvikwa skafu tayari kuongoza maadhimisho ya Kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2015 na kumbukumbu ya miaka 16 ya kifo cha  Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.Kauli mbiu ya mwaka huu ni “ Tumia haki yako ya kidemokrasia kupiga kura katika uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015.

IMG_4301

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipokelewa na mkuu wa mkoa wa Dodoma mara baada ya kuwasili katika uwanja wa michezo wa Jamhuri mjini Dodoma kuongoza maadhimisho ya mbio za mwenge wa Uhuru.

D92A6470Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika jukwaa malum akipigiwa wimbo wa taifa mara baada ya kuwasili katika uwanja wa michezo wa Jamhuri mjini Dodoma kuongoza maadhimisho yam bio za mwenge.  

D92A6482

 

D92A6490

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipokelewa na mkuu wa mkoa wa Dodoma mara baada ya kuwasili katika uwanja wa michezo wa Jamhuri mjini Dodoma kuongoza maadhimisho ya mbio za mwenge wa Uhuru.

IMG_4325

 

IMG_4341

 

IMG_4342

 

IMG_4343Kiongozi wa Mbio za Mwenge kitaifa Ndugu Juma Khatib Chum akimkabidhi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete mwenge wa uhuru wakati  wa sherehe za kilele cha Mbio za Mwenge zilizofanyika katika Uwanja wa Michezi wa Jamhuri mjini Dodoma Oktoba 14, 2015

IMG_4326

 

IMG_4328

 

IMG_4330

 

IMG_4333

 

IMG_4336Wakimbiza Mwenge wa Uhuru kitaifa wakikabiwa vyeti na  Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa kilele cha mbio za mwenge wa uhuru  zilizofanyika katika Uwanja wa Michezi wa Jamhuri mjini Dodoma Oktoba 14, 2015

 

RAIS DKT.JAKAYA MRISHO KIKWETE AFUNGUA HOSPITALI YA UTAFITI NA TIBA DODOMA OCTOBA 13, 2015

1

 

2

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi ufunguo wa Hospitali ya Utafiti wa magonjwa ya The Benjamin Mkapa Ultra modern Hospital Waziri wa Afya Kebwe Steven Kebwe kama ishara ya kuikabidhi Wizara ya Afya hospitali hiyo leo wakati wa hafla ya ufunguzi. 

3 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifunua jiwe la Msingi katika jengo jipya la Hospitali ya utafiti wa Magonjwa iliyojengwa katika chuo kikuu cha Dodoma na kupewa jina The Benjamin Mkapa Ultra Modern Hospital.Hospitali hiyo itatumika kwa mafunzo,tafiti na tiba ya magonjwa makubwa hususan figo na moyo.Kushoto ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma,Rais Mstaafu awamu ya Tatu Mh.Benjamin William Mkapa, na Katikati ni Waziri wa Afya Kebwe Steven Kebwe. 

4

 

5

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,na Rais wa Awamu ya Tatu Mh.Benjamin William Mkapa wakikata utepe kufungua rasmi la Hospitali ya utafiti wa Magonjwa iliyojengwa katika chuo kikuu cha Dodoma na kupewa jina The Benjamin Mkapa Ultra Modern Hospital.Hospitali hiyo itatumika kwa mafunzo,tafiti na tiba ya magonjwa makubwa hususan figo na moyo. 

6 

7

 

8Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwajulia hali baadhi ya wagonjwa waliolazwa katika hospitali mpya ya The Benjamin