Daily Archives: October 22, 2015

RAIS KIKWETE AWAAPISHA MSAJILI WA MAHAKAMA YA RUFAA NA MSAJILI WA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA OKTOBA 22,2015 IKULU DAR ES SALAAM

 Mhe. John Lugalema  Kahyoza akila kiapo mbele ya Rais Jakaya kikwete baada ya kuteuliwa kuwa Msajili wa Mahakama ya Rufaa mapema hii leo Ikulu jijini Dar es Salaam, awali mhe. Kahyoza alikuwaMsajili Mahakama Kuu ya Tanzania.
 Mhe. Katarina Tengia Revocati akila kiapo mbele ya Rais Jakaya kikwete baada ya kuteuliwa kuwa Msajili Mkuu  wa Mahakama  mapema hii leo Ikulu jijini Dar es Salaam, awali  Mhe. Katarina alikuwa Msajili wa Mahakama ya rufani.
 Waheshimiwa John Lugalema  Kahyoza na Bi. Katarina Tengia Revocati wakisubiri kuapishwa na Rais Jakaya Kikwete mapema hii leo Ikulu jijini Dar es Salaam.
 Viongozi na Wageni mbalimbali wakisubiri tukio la kuapishwa kwa waheshimiwa John Lugalema Kahyoza na Bi. Katarina Tengia Revocati mapema hii leo Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na majaji wanawake waliohudhuria sherehe za kuapishwa wa heshimiwa John Lugalema  Kahyoza na Bi. Katarina Tengia Revocati mapema hii leo Ikulu jijini Dar es Salaam.

RAIS DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE AZINDUA MGODI WA URANI MKOA WA RUVUMA OKTOBA 21,2015

u4

 

u1

 

u3

 

u2Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wafanyakazi wa mgodi mara baada ya kuwasili eneo la mgodi wa urani katika mradi wa mto mkuju wilaya ya namtumbo mkoa wa ruvuma Oktoba 21,2015

u14

 

u12

 

u13

 

u9

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo ya shughuli zinazofanyika kwenye mradi huo

u7

 

u6

 

u5

 

u11

 

u10

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo ya shughuli zinazofanyika kwenye mradi huo

u15

 

Rias Jakaya Mrisho Kikwete akifunua kitambaa kuzindua Mgodi wa Urani katika mradi wa mto Mkuju wilaya ya Namtumbo mkoa wa Ruvuma Oktoba 21,2015 kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Mwambungu.

u21

.u22

 

u20