Daily Archives: October 23, 2015

MWENYEKITI WA CCM TAIFA, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DK. JAKAYA MRISHO AHUTUBIA MKUTANO WA KAMPENI ZA CHAMA CHA MAPINDUZI JIJINI LA DAR ES SALAAM OKTOBA 23,2015

 Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia  wakazi wa jiji la Dar es Salaam kwenye mkutano wa kampeni za Chama Cha Mapinduzi.

  Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikweteakimnadi mgombea wa urais wa CCM Dk. John Pombe Magufuli kwenye mkutano mkubwa wa kampeni za CCM uliofanyika kwenye viwanja vya Jangwani Dar es Salaam.

 Wananchi wakishangilia katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika Jangwani jijini Dar es Salaam.

 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa jiji la Dar es Salaam waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano mkubwa wa kampeni za Chama Cha Mapinduzi uliofanyika kwenye viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam.  

 Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wakati wa mkutano wa kampeni za CCM kwenye viwanja vya Jangwani..

 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia umati wakazi wa jiji la Dar es Salaam waliofurika kusikiliza sera na mipango ya CCM .

 

Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa jiji la Dar es Salaam waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano mkubwa wa kampeni za Chama Cha Mapinduzi uliofanyika kwenye viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam.

 Umati wa wananchi waliohudhuria  Jangwani

 

 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa jiji la Dar es Salaam akimnadi mgombea ubunge wa jimbo la Ilala Mhe. Mussa Hassan Zungu kwenye mkutano mkubwa wa kampeni Jangwani, jijini Dar es Salaam.

 Mke wa mgombea wa urais kupitia CCM Mama Janeth Magufuli akihutubia wakazi wa Dar es Salaam waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika viwanja vya Jangwani .

 

 

 

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimnadi ndug.Jerry Silaa mgombea ubunge jimbo la Ukonga kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi

 

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimnadi ndug. Abas Zuber mtevu mgombea ubunge jimbo la Temeke kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi 

 

 

RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE AAGANA NA WATUMISHI WA UMMA OKTOBA 22,2015

unnamed Katibu Mkuu Kiongozi na Mkuu wa Utumishi wa Umma Balozi Ombeni Sefue akimkabidhi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete orodha ya zawadi mbalimbali kutoka katika taasisi za umma wakati wa sherehe ya watumishi wa umma kumuaga Rais iliyofanyika katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam

unnamed-2

 

 

unnamed-3 Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Dkt.Edward Hosea kwa niaba ya watumishi wa Umma akimkabidhi Tuzo Maalum Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete kwa kutambua mchango wake katika kuboresha Utumishi wa Umma nchini wakati wa  sherehe ya Watumishi wa Umma Kumuaga Rais iliyofanyika katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaa

  unnamed-4 

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania Bwana Awadh Masawe akimkabidhi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete mfano wa ufunguo wa trekta alilokabidhiwa na watumishi wa taasisi za umma jana wakati wa sherehe za kumauaga Rais katika ukumbi wa Mlimani City

unnamed-5 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete,Katibu Mkuu Kiongozi na Mkuu wa Utumishi wa Umma Balozi Ombeni Sefue,Jaji Mkuu Othman Chande,Mwanasheria Mkuu Mh.George Masaju pamoja Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Bwana Florence Turuka wakiwa katika picha ya pamoja na Makatibu wakuu wa Wizara Mbalimbali wakati wa Sherehe ya Watumishi wa Umma Kumuaga Rais iliyofanyika katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam

unnamed-6Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwahutubia viongozi na wawakilishi wa Watumishi wa Umma katika ukumbi wa Mlimani City wakati wa Sherehe ya Watumishi wa Umma Kumuaga Rais