Monthly Archives: November 2015

RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI ATEMBELEA OFISINI KWA WAZIRI MKUU MAJALIWA KASSIM MAJALIWA NA KUFANYA NAYE MAZUNGUMZO NOVEMBA 26, 2015

6cd66a42-8cea-4591-a7f7-702b41631466 Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa  wakati alipomtembelea Ofisini kwake jijini Dar es salaam Novemba 26, 2015 na kufanya naye ma zungumzo 

3cbbc8f5-ca9f-4e8d-b489-cc8884ab21d7Rais Dkt. John Pombe Magufuli akitia saini  kitabu cha wageni wakati alipomtembelea Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa ofisini kwake jijini Dar es salaam Novemba 26, 2015  na kufanya naye mazungumzo

222a62f8-c28a-4f2e-8dee-4c3d3b31f517Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiagana  na Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa  wakati alipomtembelea Ofisini kwake jijini Dar es salaam Novemba 26, 2015