Daily Archives: November 13, 2015

RAISDKT. JOHN POMBE MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA MISA YA KUMUOMBEA MAREHEMU MJUKUU WAKE MARYFAUSTINA YOSE MLYAMBINA KIMARA TEMBONI JIJINI NDAR ES SALAAM

1qweed

 

Rais Dkt.John Pombe Magufuli akisaini kitabu cha maombolezo wakati wa ibada ya msiba ya mjukuu wake marehemu Maryfaustina Yose Mlyambina(8) iliyofanyika huko Temboni Kimara jijini Dar es Salaam Novemba 13,2015  na kisha mwili wa marehemu kusafirishwa kwenda Magu mkoani mwanza kwa mazishi.

9e61f59f-1516-4d84-9d06-a829a24525f3

Rais Dkt.John Pombe Magufuli akiwafariji wazazi wa Marehemu Yose Mlyambila na Suzan wakati wa ibada ya mazishi ya mjukuu wake marehemu Maryfaustina Yose Mlambila huko Temboni Kimara jijini Dar es Salaam leo

c5b59106-9ee5-4db4-a4f7-11af007079bc

Rais Dkt.John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janet Magufuli(wapili kulia), Makamu wa Rais Mhe.Samia Hassani Suluhu(wapili kushoto), Rais Mstaafu awamu ya Nne Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete pamoja na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mhe.Said Meck Sadik wakiwa katika ibada ya kuuombea marehemu mjukuu wa Rais John Pombe Magufuli marehemu Maryfaustina Yose Mlyambila iliyofanyika nyumbani kwa wazazi ya marehemu Kimara Temboni jijini Dar es Salaam leo

81ea1472-2fe1-42a1-863c-7cf521c39dc1

55dc8b48-0112-4583-96b8-e5945900a6b2

Rais Dkt.John Pombe Magufuli na Mkewe Mama Janet Magufuli wakitoa heshima zao za mwisho mbele ya jeneza la mjukuu wao marehemu Maryfaustina Yose Mlyambina(8) wakati wa ibada ya msiba iliyofanyika nyumbani kwa wazazi wa marehemu Temboni Kimara jijini Dar es Salaam

67406900-0efd-4bd2-83cf-4e34431e35cf

Rais Mstaafu awamu ya Nne Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza la mjukuu wa Rais John Pombe Magufuli marehemu Maryfaustina Yose Mlyambina aliyefariki akiwa na umri wa miaka nane baada ya kuugua.Ibada misa ya kuuombea marehenu na kutoa heshima za mwisho zilizofanyika nyumbani kwa wazazi wa Marehemu huko Temboni Kimara jijini Dar es Salaam leo