Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa wakati alipomtembelea Ofisini kwake jijini Dar es salaam Novemba 26, 2015 na kufanya naye ma zungumzo
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akitia saini kitabu cha wageni wakati alipomtembelea Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa ofisini kwake jijini Dar es salaam Novemba 26, 2015 na kufanya naye mazungumzo
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa wakati alipomtembelea Ofisini kwake jijini Dar es salaam Novemba 26, 2015