Monthly Archives: December 2015

RAIS MAGUFULI AONANA NA MJUMBE MAALUMU WA RAIS PAUL KAGAME WA RWANDA NA MABALOZI WA USWISI NA KUWAIT DESEMBA 23, 2015

1

Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Mjumbe Maalum wa Rais Paul Kagame wa Rwanda ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Mhe. Louise Mushikwabo Ikulu jijini Dar es salaam  Disemba 23, 2015  

2

Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akizungumza na Mjumbe Maalum wa Rais Paul Kagame wa Rwanda ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Mhe. Louise Mushikwabo Ikulu jijini Dar es salaam Disemba 23, 2015   4

Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana balozi wa Uswisi hapa nchini Mhe.  Florence Tinguely Ikulu jijini Dar es salaam Disemba 23, 2015  

5

Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiongea na balozi wa Uswisi hapa nchini Mhe.  Florence Tinguely Ikulu jijini Dar es salaam Disemba 23, 2015

 

 

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AFANYA MAZUNGUMZO NA SPIKA WA SENETI NA MJUMBE MAALUM WA RAIS WA JAMHURI YA BURUNDI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM DESEMBA 22,2015

 

1Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Ndugu Reverien Ndikuriyo Spika wa Seneti na Mjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Burundi Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 22,2015.

2

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Ndugu Reverien Ndikuriyo Spika wa Seneti na Mjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Burundi Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 22,2015

3Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Ndugu Reverien Ndikuriyo Spika wa Seneti na Mjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Burundi Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 22,2015.