Monthly Archives: December 2015

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI ASHIRIKI MAZISHI YA DADA YAKE RAIS MSTAAFU JAKAYA MRISHO KIKWETE MAREHEMU TAUSI KHALFANI KIKWETE KIJIJINI MSOGA WILAYA YA BAGAMOYO MKOA WA PWANI DESEMBA 21, 2015

ms8

 Rais John Pombe Joseph Magufuli akipokewa na Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete alipowasili kuhudhuria mazishi ya dada yake Marehemu Tausi Khalfani Kikwete kijijini Msoga Wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani Desemba 21, 2015

ms9

  Rais John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi alipowasili kuhudhuria mazishi ya dada yake Mhe Kikwete Marehemu Tausi Khalfani Kikwete,  kijijini Msoga Wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani  Desemba 21, 2015. Kushoto ni Makamu wa Rais Mstaafu Dkt. Mohamed Ghalib Bilal

ms10 Rais John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakary Zubeiry bin Ally alipowasili kuhudhuria mazishi ya dada yake Mhe Kikwete  Marehemu Tausi Khalfani Kikwete, kijijini Msoga Wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani  Desemba 21, 2015 

ms7Mama Salma Kikwete akimpoke Mama Janet Magufuli katika mazishi ya wifi  yake Marehemu Tausi Khalfani Kikwete, kijijini Msoga Wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani  Desemba 21, 2015 

ms6 Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Mama Janet Magufuli katika mazishi ya  dada yake Marehemu Tausi Khalfani Kikwete, kijijini Msoga Wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani  Desemba 21, 2015

ms11Mama Janet Magufuli (kulia) akiwa na wafiwa kijijini Msoga Wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani  Desemba 21, 2015

ms17Wakati wa dua baada ya mazishi

ms15Rais Joseph Pombe Joseph Magufuli akiweka udongo kaburini

ms18Rais Joseph Pombe Joseph Magufuli na Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete wakiondoka makaburini baada ya mazishi

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AKUTANA NA VIONGOZI MBALIMBALI IKULU DAR ES SALAAM NA KUFANYA NAO MAZUNGUMZO DESEMBA 21,2015

1

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akimpokea Makamu wa kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe.Maalim Seif Sharif Hamad Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 21,2015 na kufanya naye Mazungumzo

2.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli alipokutana na Makamu wa kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe.Maalim Seif Sharif Hamad Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 21,2015 na kufanya naye Mazungumzo

4

Picha ya pamoja Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli Makamu wa kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe.Maalim Seif Sharif Hamad  na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan   Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 21,2015 baada ya Mazungumzo

3

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akiagana na Makamu wa kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe.Maalim Seif Sharif Hamad Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 21,2015 baada ya kufanya naye Mazungumzo

5

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli alipokutana na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Tonia Kandiero Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 21,2015 na kufanya naye mazungumzo

6

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akiteta jambo  na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Tonia Kandiero Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 21,2015 baada ya kufanya naye mazungumzo

7

 

8

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akiagana  na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Tonia Kandiero Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 21,2015 baada ya kufanya naye mazungumzo

9

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli amekutana na Balozi wa Rwanda hapa Nchini Mhe. Eugene kayihura Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 21,2015 na kufanya naye mazungumzo

10

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akiagana na Balozi wa Rwanda hapa Nchini Mhe. Eugene kayihura Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 21,2015 baada ya kufanya naye mazungumzo