Monthly Archives: December 2015

RAIS MAGUFULI AKUTANA NA UJUMBE MAALUM KUTOKA KWA WAZIRI MKUU WA JAPAN NA PIA AMEKUTANA NA UJUMBE KUTOKA SUDAN DESEMBA 16,2015

 

1

 

2

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mjumbe maalum wa Waziri Mkuu wa Japan Seiji Kiara Ikulu Jijini Dar es Salaam Desemba 16,2015

3

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifanya mazungumzo na Mjumbe maalum wa Waziri Mkuu wa Japan Seiji Kiara Ikulu Jijini Dar es Salaam Desemba 16,2015

4

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana  na Mjumbe maalum wa Waziri Mkuu wa Japan Seiji Kiara Ikulu Jijini Dar es Salaam baada ya kufanya naye mazungumzo Desemba 16,2015

5

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli aki,karibisha  Balozi Kamal Ismail Waziri wa Nchi anayeshughulikia Mambo ya nje na Mjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Sudan Desemba 16,2015 Ikulu jijini Dar es salaam

6

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Balozi Kamal Ismail Waziri wa Nchi anayeshughulikia Mambo ya nje na Mjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Sudan Desemba 16,2015