Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiongea na Viongozi na Wawakilishi wa Umoja wa Sekta Binafsi nchini (Tanzania Private Sector Foundation – TPSF) katika ukumbi wa mkutano wa Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 3, 2015