Daily Archives: December 8, 2015

RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA MABALOZI WA MALAWI NA SWEDEN IKULU JIJINI DAR ES SALAAM DESEMBA 08, 2015

DSC_2442 Dkt John Pombe Joseph Magufuli akimpokea na kumkaribisha Balozi wa Malawi hapa nchini Mhe. Hawa Ndilowe  Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 8, 2015   

DSC_2448Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiwa katika mazungumzo  na Balozi wa Malawi hapa nchini Mhe. Hawa Ndilowe  Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 8, 2015

DSC_2449

 

DSC_2454

Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akimsindikiza  na kumuaga Balozi wa Malawi hapa nchini Mhe. Hawa Ndilowe baada ya mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 8, 2015

DSC_2382

 

DSC_2385 Dkt John Pombe Joseph Magufuli akimpokea na kumkaribisha Balozi wa Sweden nchini Mhe. Katarina Rangnitt Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 8, 2015

DSC_2390

 

DSC_2391

 

 DSC_2394

 

DSC_2396Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akipokea barua za salamu kutoka kwa Balozi wa Sweden nchini Mhe. Katarina Rangnitt Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 8, 2015

DSC_2410

 

DSC_2414

Dkt John Pombe Joseph Magufuli akimuaga Balozi wa Sweden nchini Mhe. Katarina Rangnitt Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 8, 2015 alipomtembelea Ikulu

 

 

 

RAIS MAGUFULI AFANYA MAZUNGUMZO NA MWAKILISHI MKAZI WA BENKI YA DUNIA BI. BELLA BIRD IKULU JIJINI DAR ES SALAAM DESEMBA 7,2015.

1Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kulia akisalimiana na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia Bi. Bella Bird kuhusu masuala mbalimbali ambayo Benki ya Dunia imeisaidia Tanzania katika Miradi ya Maendeleo.

3Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kulia akifurahia jambo wakati akizungumza na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia Bi Bella Bird. Katika mazungumzo hayo Bi. Bella Bird amempongeza Rais Magufuli kwa hatua zake anazozichukua za kuongeza mapato, kubana matumizi na kuhakikisha wananchi wanapata huduma bora za kijamii.

DSC_2256

 

DSC_2259

Mazungumzo yakiendelea

4

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kulia akiagana na Bi. Bella Bird Ikulu jijini Dar es Salaam mara baada ya kufanya mazungumzo.