Daily Archives: December 10, 2015

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AKITANGAZA BARAZA LA MAWAZIRI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM DESEMBA 10,2015

1

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, makamu wa Rais, Waziri Mkuu na katibu mkuu kiongozi wakiwasili moja ya kumbi za mikutano ya ikulu kwa ajili ya Rais kutangaza Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 10,2015

4

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitangaza Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 10,2015

8   9

Waandishi wa habari,viongozi na wananchi wakimsikiliza kwa makini Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati akitangaza Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 10,2015

9fac3ffb-ff92-4668-b472-8cc044ad69f2   ecd01180-2d00-4d45-9aab-2c6b56c93f40

 

26b246da-8b91-4faa-96a5-65e06d574d60

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana kwa furaha na wanahabari mara baada ya kutangaza baraza lake la mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 10, 2015.

11  12

Picha ya pamoja na Waandishi wa habari baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati akitangaza Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam Desemba10,2015

92687c11-ee7b-496f-b80d-b3e5eafe6575

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akirejea ofisini baada ya kutangaza baraza lake la mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 10, 2015. Kulia kwake ni Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na kushoto ni Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Kassim Majaliwa. Kushoto kabisa ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue  

BARAZA LA MAWAZIRI

 

RaiswaJamhuriyaMuunganowa Tanzania Dkt. John PombeMagufuliametangazaBaraza la MawaziriambalolitakuwanaWizara 18, Mawaziri 19 naManaibuWaziri 15.

IfuatayoniorodhayawalioteuliwakulingananaWizarazao

 

 1. OfisiyaRais (TAMISEMI, Utumishi&Utawala Bora).

I.            (Waziri) George Simbachawene

II.            (Waziri) AngellaKairuki

III.            (NaibuWaziri) JaffoSeleman Said

 

 1. OfisiyaMakamuwaRais (MuunganonaMazingira).

I.            (Waziri) January Yusuf Makamba

II.            (NaibuWaziri) LuhagaJoelsonMpina

 

 1. OfisiyaWaziriMkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, AjiranaWalemavu).

I.            (Waziri) JenistaMhagama

II.            (NaibuWaziri) Dkt. AbdallahPossi

III.            (NaibuWaziri) Antony Mavunde

 

 

 1. WizarayaKilimo, MifugonaUvuvi.

I.            (Waziri) MwiguluLameckNchemba

II.            (NaibuWaziri) Willam Tate Ole Nasha

 

 1. WizarayaUjenzi, UchukuzinaMawasiliano.

I.            (Waziri) – Badohajateuliwa

II.            (NaibuWaziri) Eng. Edwin AmandusNgonyani

 

 1. WizarayaFedhanaMipango.

I.            (Waziri) – Badohajateuliwa

II.            (NaibuWaziri) Dkt. AshantuKijaji

 

 1. WizarayaNishatinaMadini.

I.            (Waziri) Prof. SospeterMwijarubiMuhongo

II.            (NaibuWaziri) Dkt. MedardKalemani

 

 1. WizarayaKatibanaSheria.

I.            (Waziri) Dkt. Harrison Mwakyembe

 

 1. Wizaraya Mambo yaNje, UshirikianowaAfrikaMashariki, KikandanaKimataifa.

I.       (Waziri) Dkt. Augustine Mahiga

II.      (NaibuWaziri) Dkt. Susan AlphonceKolimba

 

 1. WizarayaUlinzinaJeshi la KujengaTaifa.

I.     (Waziri) Dkt. Hussein Mwinyi

 

 1. Wizaraya Mambo yaNdani.

I.       (Waziri) Charles Kitwanga

 

 1. WizarayaArdhi, NyumbanaMaendeleoyaMakazi.

I.       (Waziri) William Lukuvi

II.      (NaibuWaziri) Angelina Mabula

 

 1. WizarayaMaliasilinaUtalii.

I.       (Waziri) – Badohajateuliwa

II.      (NaibuWaziri) Eng. RamoMatalaMakani

 

 1. WizarayaViwanda, BiasharanaUwekezaji.

I.       (Waziri) Charles Mwijage

 

 1. WizarayaElimu, Sayansi, TeknolojianaUfundi.

I.       (Waziri) – Badohajateuliwa

II.      (NaibuWaziri) Eng. Stella Manyanya

 

 1. WizarayaAfya, MaendeleoyaJamii, Jinsia, WazeenaWatoto.

I.       (Waziri) UmmyMwalimu

II.      (NaibuWaziri) Dkt. Hamis Andrea Kigwangalla

 

 

 1. WizarayaHabari, Utamaduni, WasaniinaMichezo.

I.       (Waziri) Nape Moses Nnauye

II.      (NaibuWaziri) Anastazia James Wambura

 

I.       (Waziri) Prof. MakameMbarawa

II.      (Waziri) Eng. IsackKamwele

 

Mwisho

 

GersonMsigwa

KaimuMkurugenziMawasiliano, IKULU

10 Desemba, 2015