Daily Archives: December 22, 2015

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AFANYA MAZUNGUMZO NA SPIKA WA SENETI NA MJUMBE MAALUM WA RAIS WA JAMHURI YA BURUNDI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM DESEMBA 22,2015

 

1Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Ndugu Reverien Ndikuriyo Spika wa Seneti na Mjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Burundi Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 22,2015.

2

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Ndugu Reverien Ndikuriyo Spika wa Seneti na Mjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Burundi Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 22,2015

3Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Ndugu Reverien Ndikuriyo Spika wa Seneti na Mjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Burundi Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 22,2015.

 

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI ASHIRIKI MAZISHI YA DADA YAKE RAIS MSTAAFU JAKAYA MRISHO KIKWETE MAREHEMU TAUSI KHALFANI KIKWETE KIJIJINI MSOGA WILAYA YA BAGAMOYO MKOA WA PWANI DESEMBA 21, 2015

ms8

 Rais John Pombe Joseph Magufuli akipokewa na Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete alipowasili kuhudhuria mazishi ya dada yake Marehemu Tausi Khalfani Kikwete kijijini Msoga Wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani Desemba 21, 2015

ms9

  Rais John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi alipowasili kuhudhuria mazishi ya dada yake Mhe Kikwete Marehemu Tausi Khalfani Kikwete,  kijijini Msoga Wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani  Desemba 21, 2015. Kushoto ni Makamu wa Rais Mstaafu Dkt. Mohamed Ghalib Bilal

ms10 Rais John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakary Zubeiry bin Ally alipowasili kuhudhuria mazishi ya dada yake Mhe Kikwete  Marehemu Tausi Khalfani Kikwete, kijijini Msoga Wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani  Desemba 21, 2015 

ms7Mama Salma Kikwete akimpoke Mama Janet Magufuli katika mazishi ya wifi  yake Marehemu Tausi Khalfani Kikwete, kijijini Msoga Wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani  Desemba 21, 2015 

ms6 Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Mama Janet Magufuli katika mazishi ya  dada yake Marehemu Tausi Khalfani Kikwete, kijijini Msoga Wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani  Desemba 21, 2015

ms11Mama Janet Magufuli (kulia) akiwa na wafiwa kijijini Msoga Wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani  Desemba 21, 2015

ms17Wakati wa dua baada ya mazishi

ms15Rais Joseph Pombe Joseph Magufuli akiweka udongo kaburini

ms18Rais Joseph Pombe Joseph Magufuli na Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete wakiondoka makaburini baada ya mazishi