Daily Archives: December 28, 2015

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI, AMEWAPISHA MAWAZIRI WATANO NA NAIBU WAZIRI MMOJA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM DESEMBA 28,2015

1fswdsdfsfRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt. John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Katibu Mkuu Wa Kiongozi walioketi katika picha ya Pamoja na Mawaziri walio simama baada ya kuwapisha Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 28,2015 (kwa habari picha bonyeza Blog)

DSC_4018

 

 

DSC_4022

 

 

1Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Profesa Jumanne Maghembe kuwa Waziri wa Maliasilina Utalii Desemba 28,2015 Ikulu jijini Dar es salaam 

1fgfg

 

DSC_4037

 

2dffRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha     Prof. Makame Mbarawa baada ya kumhamisha kutoka Wizara ya Maji na Umwagiliaji na kwenda kuwa Waziri katika Wizara ya Ujenzi, uchukuzi na Mawasiliano

DSC_4059

 

 

DSC_4063

 

 

DSC_4065   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha  Dkt. Philip Mpango – kuwa Waziri wa Fedha na Mipango Desemba 28,2015 Ikulu jijini Dar es salaam (Ni baada ya kumteua  kuwa Mbunge)

DSC_4071

 

DSC_4073

 

DSC_4076Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Joyce Ndalichako kuwa Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi Desemba 28,2015 Ikulu jijini Dar es salaam (Ni  baada ya kumteua kuwa Mbunge)

DSC_4048

 

DSC_4052

 

DSC_4054   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha  Mhandisi Gerson Lwenge kuwa Waziri wa Maji na Umwagiliaji Desemba 28,2015 Ikulu jijini Dar es salaam

DSC_4082

 

DSC_4085

 

DSC_4086 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mheshimiwa Hamad Masauni kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Desemba 28,2015 Ikulu jijini Dar es salaam