Daily Archives: January 2, 2016

BALOZI OMBENI SEFUE AFUNGUA SEMINA ELEKEZI KWA MAKATIBU WAKUU NA MANAIBU KATIBU WAKUU IKULU JIJINI DAR ES SALAAM JANUARY 2, 2016

1 Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akizungumza na Makatibu Wakuu pamoja na Manaibu Katibu Wakuu wakati akifungua Semina Elekezi kwa Makatibu hao Ikulu jijini Dar es Salaam

2

 

4

 

 

3

Baadhi ya Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu wakisikiliza kwa makini Hotuba ya Ufunguzi iliyokuwa ikitolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue katika Semina elekezi ya siku moja Ikulu Jijini Dar es Salaam.