Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akizungumza na Waandishi wa Habari Ikulu jijini Dar es Salaam kuhusu maamuzi mbalimbali yaliofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika kuboresha utendaji kazi Serikalini Januari 25,2016