Daily Archives: February 5, 2016

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHESHIMIWA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AZUNGUMUZA NA WANANCHI NA KUKAGUA BARABARA ENEO LA KIBAIGWA WAKATI ALIPOSAFIRI KWA GARI KUTOKA DAR ES SALAAM HADI DODOMA FEBRUARI 04,2015

1

 

2Msafara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli ukipita katika eneo la Msamvu mjini Morogoro kuelekea Dodoma Februari 05,2016

5

 

 

2Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wakazi wa Msamvu mjini Morogoro wakati akiwa njiani kuelekea Dodoma, Februari 05,2016

5

 

6Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wakazi wa Wami dakawa mkoani Morogoro wakati akiwa njiani kuelekea Dodoma Februari 05,2016

7Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wakazi wa eneo la Magole mkoani Morogoro Februari 05,2016

8Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wakazi wa Dumila Mkoani Morogoro wakati akielekea Dodoma kwa kutumia usafiri wa Gari Februari 05,2016

9

 

 

10

 

11Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia ukarabati unaondelea katika barabara kuu ya Morogoro-Dodoma eneo la Kibaigwa, sehemu ya barabara hiyo inakarabatiwa chini ya usimamizi wa Wakala wa Barabara nchini TANROADS