Daily Archives: February 18, 2016

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AMEKUTANA NA BAADHI YA MAKUNDI YALIYOSHIRIKI KAMPENI YA UCHAGUZI MKUU 2015, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM FEBRUARI 18,2016

 

0a57495a-70d5-4ee1-83e3-b8ab392c5c7c Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Joseph Magufuli na Mama Janeth Magufuli wakiongozana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira)  Mhe January Makamba  pamoja na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe Nape Nnauye wakielekea ukumbini kuongea  na baadhi ya makundi yaliyoshiriki naye kwenye kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 aliowaita kuwashukuru Ikulu jijini Dar es salaam  February 18, 2016

41e3a7b9-c056-421f-8187-60449e614d85

 

 

10407be2-d22b-459c-908e-3c732a50b1e5Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akisalimia katika mkutano wa Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na baadhi ya makundi yaliyoshiriki naye kwenye kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 aliowaita kuwashukuru Ikulu jijini Dar es salaam February 18, 2016.

91124547-0f75-4ee4-9a66-e803cb76ae6d

 

7407014d-4cd0-4b4a-91b1-5eadd95a2c42

 

 

4ea65a23-f2fc-4082-ba61-c6405446d5aaMakamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan  akisalimia katika mkutano wa Rais John Pombe Joseph Magufuli na baadhi ya makundi yaliyoshiriki naye kwenye kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 aliowaita kuwashukuru Ikulu jijini Dar es salaam  February 18, 2016.

2ef49472-62fc-4898-8d20-53931604b537

 

6b0c7e43-7f9b-440f-a650-96c492380ed1

    8f703095-87aa-416a-838c-33d41cb99ce1

 

75e487e0-6d7c-4167-89df-2ad2439c483a Rais John Pombe Joseph Magufuli akiongea na baadhi ya makundi yaliyoshiriki naye kwenye kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 aliowaita kuwashukuru Ikulu jijini Dar es salaam February 18, 2016.

2de0c3c1-c0bc-4553-8cbb-a96732785bcf

 

4ad890c8-d777-48bf-b7db-4e8fa1c4036d

 

 

58ed7287-9ff3-49d2-8639-84114068ed21-1

 

58028edd-e60f-4bf8-aca3-5e591e19d3c0baadhi ya makundi yaliyoshiriki na Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli kwenye kampeni ya uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015

9d727a6e-4b58-4792-9a21-fc16ea41b061Rais John Pombe Joseph Magufuli katika picha ya pamoja na kundi la sanaa la Tanzania One Theatre baada ya kuongea na baadhi ya makundi yaliyoshiriki naye kwenye kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 aliowaita kuwashukuru Ikulu jijini Dar es salaam  February 18, 2016

3e0f5248-5b9f-4b96-ba3f-64846fdec2fcRais John Pombe Joseph Magufuli katika picha ya pamoja na wasanii wa Bongo Movie   baada ya  kuongea  na baadhi ya makundi yaliyoshiriki naye kwenye kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 aliowaita kuwashukuru Ikulu jijini Dar es salaam February 18, 2016

605cfe60-c34d-4f0b-92cf-3f652201e925 Rais John Pombe Joseph Magufuli katika picha ya pamoja na wasanii wa Bongo Fleva  baada ya  kuongea  na baadhi ya makundi yaliyoshiriki naye kwenye kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 aliowaita kuwashukuru Ikulu jijini Dar es salaam February 18, 2016

02084aae-aa52-4a3e-ac9e-893a298685f6 Rais John Pombe Joseph Magufuli katika picha ya pamoja na watendaji kutoka CCM Makao Makuu  baada ya  kuongea  na baadhi ya makundi yaliyoshiriki naye kwenye kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 aliowaita kuwashukuru Ikulu jijini Dar es salaam February 18, 2016

12997ebc-fc64-4f0a-ae88-b2455295513eRais John Pombe Joseph Magufuli katika picha ya pamoja na wataalamu wa TEHAMA baada ya  kuongea  na baadhi ya makundi yaliyoshiriki naye kwenye kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 aliowaita kuwashukuru Ikulu jijini Dar es salaam February 18, 2016

73456e31-a97b-4f0e-93f2-9082f50385de

 

 

1111Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli, Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa, Mawziri Nnape Nnauye na January Makamba  katika picha ya pamoja na madereva  baada ya kuongea na baadhi ya makundi yaliyoshiriki naye kwenye kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 aliowaita kuwashukuru Ikulu jijini Dar es salaam February 18, 2016 

6a7c8493-f96f-4a5c-8e38-d042729fed00

 

41a0b20e-0325-4bfb-b51a-41f274fe9780

 

a641734f-955d-4efe-a6b8-27361ff70972