Daily Archives: February 23, 2016

RAIS MHE. DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AFANYA MAZUNGUMZO NA WAGENI MBALIMBALI IKULU JIJINI DAR ES SAALAM FEBRUARI 23,2016

1Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Balozi wa Uholanzi hapa nchini Mheshimiwa Jaap Frederiks Ikulu jijini Dar es Salaam

2 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Balozi wa Uholanzi hapa nchini Mheshimiwa Jaap Frederiks Ikulu jijini Dar es Salaam.

3 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Waziri wa Afrika Mashariki kutoka Nchini Burundi Bi Leontine Nzeyimana ambaye pia Mjumbe Maalum wa Rais wa Burundi Mhe. Pierre Nkururinza. Waziri huyo alifika Ikulu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya mazungumzo na Rais pamoja na kumueleza hali halisi ya nchini Burundi.

4Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Balozi wa India hapa nchini Sandeep Arya aliyefika Ikulu kwa ajili ya mazungumzo.

5Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Balozi wa Zambia hapa nchini Judith Kangoma Kapijimpanga Ikulu jijini Dar es Salaam.

6Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Balozi wa Zambia hapa nchini Judith Kangoma Kapijimpanga Ikulu jijini Dar es Salaam

7Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Balozi wa Zambia hapa nchini Judith Kangoma Kapijimpanga Ikulu jijini Dar es Salaam.

8Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Jaji Mkuu Mohamed Chande Othman Ikulu jijini Dar es Salaam.

9Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Jaji Mkuu Mohamed Chande Othman Ikulu jijini Dar es Salaam.