Daily Archives: February 28, 2016

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT JOHN POMBE MAGUFULI FEBRUARI 28,2016 AWASILI ARUSHA KUONGOZA MKUTANO WA 17 WA KAWAIDA WA WAKUU WA NCHI WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI

DSC_3760

 

DSC_3768Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Daudi Felix Ntibenda mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) Februari 28,2016

2dsfsvRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki ,Kikanda na Kimataifa Balozi Agustine Mahiga mara baada ya Kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA).

DSC_3784Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Mbunge wa Arumeru Mashariki Mhe Joshua Nassari aliyekuwa mmoja wa viongozi  na wananchi waliojitokeza kwa wingi kumpokea Rais alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha Daudi Felix Ntibenda Februari 28,2016 tayari kuongoza Mkutano wa 17 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki utakaofanyika jijini Arusha.

 DSC_3810

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na mmoja wa viongozi wa Dini alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) Februari 28,2016 tayari kuongoza Mkutano wa 17 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki utakaofanyika jijini Arusha. 

DSC_3844

 

DSC_3865

 

DSC_3872 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia vikundi mbalimbali vya ngoma za asili mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA).

DSC_3888 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wakazi wa Arusha na Kilimanjaro waliofika Uwanja wa ndege wa KIA kumpokea.

DSC_3901Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimatifa wa Kilimanjaro (KIA).