Daily Archives: March 13, 2016

KAIMU KATIBU MKUU KIONGOZI MHANDISI MUSSA IBRAHIM IYOMBE ATANGAZA MAJINA YA WAKUU WAPYA WA MIKOA KWA NIABA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO DKT. JOHN POMBE MAGUFULI MARCHI 13,2016

wwwewtwtwtwtKaimu Katibu Mkuu Kiongozi ambaye pia ni Katibu Mkuu TAMISEMI, Mhandisi Mussa Ibrahim Iyombe akitangaza Majina ya Wakuu wapya wa Mikoa kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam