Daily Archives: March 14, 2016

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS WA KAMPUNI YA TOTAL AFRIKA MASHARIKI JAVIER RIELO ALIYEAMBATANA NA UJUMBE WAKE IKULU JIJINI DAR ES SALAAM MARCHI 14,2016

1234ff63-a4cc-48d5-9df0-a3ec9bf5cedbRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Makamu wa Rais wa Kampuni ya Total Afrika Mashariki,   Javier Rielo Ikulu jijini Dar es Salaam.

362e6f14-ed75-4608-8ed8-ffbcbeceae78Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mmoja wa wajumbe walioambatana na Makamu wa Rais wa Kampuni ya Total Afrika Mashariki,   Javier Rielo Ikulu jijini Dar es Salaam.

0cf713fc-6a89-4d1e-9e64-e697e48e886aRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Makamu wa Rais wa Kampuni ya Total Afrika Mashariki,   Javier Rielo Ikulu jijini Dar es Salaam

c0bf3e42-2b6f-4c50-ac5b-c751643be4a7Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais wa Kampuni ya Total Afrika Mashariki,   Javier Rielo

2b5baf06-d7aa-4a45-9ddb-adb869c00f17Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Makamu wa Rais wa Kampuni ya Total Afrika Mashariki,   Javier Rielo aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es Salaam