Daily Archives: April 12, 2016

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI ASHIRIKI KUAGA MWILI WA MAREHEMU CHRISTINA LISSU MUGHWAI KATIKA UKUMBI WA KARIMJEE JIJINI DAR ES SALAAM APRIL 12,2016

1dhccnRais wa Jamhuri ya Muungano Dkt. John Pombe Magufuli akisaini kitabu cha Maombolezo kufatia kifo cha Mbunge wa zamani wa Viti Maalum Chadema Christina Lissu Mughwai aliyefariki Aprili 7 mwaka huu. 

2Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt. John Pombe Magufuli akimfariji Mwanasheria Tundu Lissu (Mb) kufatia kifo cha mdogo wake Christina Lissu Mughwai aliyefariki Aprili 7 mwaka huu.

3 Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akimpa pole Mwanasheria Tundu Lissu (Mb) kufatia kifo cha mdogo wake Christina Lissu Mughwai aliyefariki Aprili 7 mwaka huu

4Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt. John Pombe Magufuli  akiteta jambo na mwenyekiti wa chama cha CHADEMA Freeman Mboye wakati wa akiaga mwili wa marehemu Christina Lissu Mughwai aliyewahi kuwa Mbunge wa Viti Maalum kutoka Chadema katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam.

1

 

2 Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt. John Pombe Magufuli na mke wake mama Janeth Magufuli wakiaga mwili wa marehemu Christina Lissu Mughwai aliyewahi kuwa Mbunge wa Viti Maalum kutoka Chadema katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam.