Daily Archives: June 16, 2016

RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI AKUTANA NA BALOZI WA QATAR NCHINI NA SPIKA MSTAAFU MHE ANNE MAKINDA IKULU DAR ES SALAAM JUNI 16,2016

ass smRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Balozi wa Qatar hapa nchini Mhe Abdallah Jassim Al Maadadi Ikulu jijini Dar es salaam Juni 16, 2016

wfdfcgRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiwa katika mazungumzo na  Balozi wa Qatar hapa nchini Mhe Abdallah Jassim Al Maadadi Ikulu jijini Dar es salaam Juni 16, 2016

3 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiagana na Balozi wa Qatar hapa nchini Mhe Abdallah Jassim Al Maadadi baada ya kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam Juni 16, 2016

4 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na kumkaribisha Spika wa Bunge Mstaafu  na mwenyekiti mpya wa  Bodi ya Wakurugenzi ya Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF), Mama Anne Makinda Ikulu jijini Dar es salaam Juni 16, 2016

9fb4457e-3c23-49f9-b5cc-ac12488f70b8Rais  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiwa katika mazungumzo na Spika wa Bunge Mstaafu  na mwenyekiti mpya wa  Bodi ya Wakurugenzi ya Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF), Mama Anne Makinda Ikulu jijini Dar es salaam Juni 16,2016

5 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiagana na Spika wa Bunge Mstaafu  na mwenyekiti mpya wa  Bodi ya Wakurugenzi ya Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF), Mama Anne Makinda Ikulu jijini Dar es salaam Juni 16, 2016 baada ya kufanya mazungumzo