Daily Archives: July 12, 2016

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI ONGEA NA WAKURUGENZI WATEULE WA HALMASHAURI, MIJI, MANISPAA NA MAJIJI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM JULAY 12,2016

1

 

8Rais Dkt. John pombe Magufuli akiongea na wakurugenzi wateule wa Halmashauri, Miji, Manispaa na Majiji Ikulu jijini Dar es salaam Julay 12,2016 

11

 

5Baadhi ya Wakurugenzi wateule wa Halmashauri, Miji, Manispaa na Majiji wakimsikiliza kwa makini Rais Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam Julay 12,2016

9Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Itigi Luhende Pius Gerald akionyesha vyeti vyake vya masomo kwa wandishi wa habari, Luhende alichafuliwa kwenye mitandao ya kijamii kuwa elimu yake ni cheti cha usimamizi wa Hoteli, amewaonesha wandishi wa habari kuwahakikishia kuwa Elimu ya Uzamili

13

 

14Picha ya pamoja na Wakurugenzi wa Halmashauri, Miji, Manispaa na Majiji 185