Daily Archives: July 20, 2016

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AKUTANA NA RAIS WA BENKI YA EXIM YA CHINA IKULU NDOGO YA CHAMWINO MKOANI DODOMA JULAI 20,2016

1Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Rais wa Benki ya Exim ya China Liu Liang katika Ikulu ndogo ya Chamwino mkoani Dodoma

2Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Rais wa Benki ya Exim ya China Liu Liang wa kwanza kulia katika Ikulu ndogo ya Chamwino mkoani Dodoma. Wakwanza kushoto ni Balozi wa China hapa nchini Lu Youqing Julai 20,2016

3Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha pamoja na ujumbe wa Rais wa Benki ya Exim ya China Liu Liang katika Ikulu ndogo ya Chamwino mkoani Dodoma.

4 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Rais wa Benki ya Exim ya China Liu Liang mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu ndogo ya Chamwino mkoani Dodoma.

5 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Benki ya Exim ya China Liu Liang kutoka kulia mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu ndogo ya Chamwino mkoani Dodoma. Wengine katika picha ni wakwanza kushoto ni Balozi wa China hapa nchini Lu Youqing, Waziri wa Fedha na Mipango Filipo Mpango, Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Suzan Kolimba.

6Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Benki ya Exim ya China Liu Liang watatu kutoka kulia mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu ndogo ya Chamwino mkoani Dodoma

6 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Benki ya Exim ya China Liu Liang watatu kutoka kulia mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu ndogo ya Chamwino mkoani Dodoma 

9

 

10

 

11 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana jambo na Rais wa Benki ya Exim ya China Liu Liang katika Ikulu ndogo ya Chamwino mkoani Dodoma.

13

 

 

14Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana kwa furaha na Rais wa Benki ya Exim ya China Liu Liang katika Ikulu ndogo ya Chamwino mkoani Dodoma.