Daily Archives: July 25, 2016

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AAONGOZA VIONGOZI MBALIMBALI KWENYE MAADHIMISHO YA SIKU YA KUMBUKUMBU YA MASHUJAA MJINI DODOMA JULAI 25,2016

1.Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika viwanja vya mashujaa mjini Dodoma ambapo ndo yamefanyika Maadhimisho ya siku ya Kumbukumbu ya mashujaa kitaifa Julai 25,2016

2Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea saluti kutoka katika vikosi maalumu vya vyombo vya ulinzi na Usalama mara baada ya kuwasili katika viwanja vya mashujaa mjini Dodoma ambako ndo kumefanyika Maadhimisho ya kumbukumbu ya mashujaa Julai 25,2016

5

 

4.

 

6Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiweka mkuki kwenye mnara wa mashujaa mjini Dodoma ambapo ndo yamefanyika Maadhimisho ya kumbukumbu ya mashujaa Julai 25,2016

7Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa heshima zake baada ya kuweka Mkuki kwenye mnara wa mashujaa mjini Dodoma ambapo ndo yamefanyika Maadhimisho ya kumbukumbu ya mashujaa Julai 25,2016

8 Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais mstaafu wa awamua ya pili Ali Hassan Mwinyi aliyehudhuria katika Maadhimisho ya kumbukumbu ya mashujaa Julai 25,2016

9Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu mstaafu John Samwel Malecela aliyehudhuria katika Maadhimisho ya kumbukumbu ya mashujaa Julai 25,2016

13Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mzee Samwel H. Kasori aliyehudhuria katika Maadhimisho ya kumbukumbu ya mashujaa Julai 25,2016

10

 

11Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi waliohudhuria Maadhimisho ya kumbukumbu ya mashujaa yaliyofanyika mjini Dodoma Julai 25,2016

12Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na wananchi wa mji wa Dodoma na viongozi waliohudhuria katika Maadhimisho ya kumbukumbu ya mashujaa Julai 25,2016