Daily Archives: July 29, 2016

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AHUTUBIA WAKAZI WA MANYONI,IKUNGI NA MJI WA SINGIDA JULAI 29,2016

A

 

8Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhandisi Mathew Mtigumwe akimpokea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mama Janet Magufuli mara baada ya kuwasili katika Wilaya ya Manyoni Mkoani Singida.

1WHEFEBB

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia mamia ya wakazi wa Manyoni Mkoani Singida mara baada ya kuwasili katika Wilaya hiyo akiwa njiani kuelekea mkoani Singida.

DSC_9936Wananchi wa Manyoni akishangilia Hotuba nzuri ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli aliyoitoa katika mkutano wa Hadhara kwenye Uwanja vya Shule ya Msingi Tambuka Reli Manyoni Mkoani Singida.

12Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiwasalimia wakazi wa Manyoni mara baada ya kuwasili

1

 

2

 

3

 

4Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia wakazi wa Manyoni mara baada ya kumaliza kuhutubia katika Uwanja wa Shule ya Msingi Tambuka Reli Manyoni Mkoani Singida.

222222Mbunge wa manyoni Magharibi Yahya Masare akicheza ngoma na kikundi cha Ngoma za asili cha Manyoni kabla ya Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt. John Magufuli kuhutubia mkutano katika Uwanja wa Shule ya Msingi Tambuka Reli Manyoni Mkoani Singida

ikungiRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi wa Ikungi waliomsimamisha wakati akielekea Mkoani Singida

1 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akiongea na maelfu ya wananchi wa mji wa Singida alipofanya Mkutano Mjini Singida Julai 29,2016

4

 

2Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akipokea Mkuki na Ngao kutoka kwa Mzee Joram Alute kwa niaba ya Wazee wa mkoa wa singida kama Ishara ya Ushujaa kwa kazi nzuri anayoifa katika kuliletea Taifa maendeleo mara baada ya kuongea na maelfu ya wananchi wa mji wa Singida alipofanya Mkutano Mjini Singida Julai 29,2016

5Mke wa Rais Mama Janet Magufuli akiwasalimia wakazi wa mji wa Singida

3.

 

 

3Aliyekuwa mbunge wa Singida mjini Mohammed Dewji pamoja na wananchi wa mji wa Singida wakifuatilia na kushangilia hotuna iliyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli alipoongea na maelfu ya wananchi wa mji wa Singida alipofanya Mkutano Mjini Singida Julai 29,2016