Daily Archives: August 13, 2016

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI NA MWENYEKITI WA CCM TAIFA AMEPATA MAPOKEZI MAKUBWA NA KUWAHUTUBIA WANA-CCM NA WANANCHI WA DAR ES SALAAM KATIKA OFISI NDOGO ZA CCM MTAA WA LUMBUMBA, AGOSTI 12, 2016.


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli   na Mwenyekiti wa CCM Taifa  wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa J.K. Nyerere, Jijini Dar es salaam kabla ya kwenda kuwahutubia wana-CCM wa Dar es salaam baada ya Ofisi Ndogo za CCM mtaa wa Lumbumba leo agosti 12, 2016.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli  na Mwenyekiti wa CCM Taifa   akilakiwa na viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Dar es salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli    na Mwenyekiti wa CCM Taifa   akifurahia burudani za aina mbalimbali wakati alipowasili Jijini Dar es salaam leo, akitokea Jijini Mwanza.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli   na Mwenyekiti wa CCM Taifa akipiga ngoma kutoka kwa moja ya vikundi vilivyokuwepo uwanjani hapo.

Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli         na Mwenyekiti wa CCM Taifa  akiwapungia wananchi waliofika Uwanjani hapo kumlaki leo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli  na Mwenyekiti wa CCM Taifa akiongea na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndehe wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es es salaam leo agosti 12, 2016.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli   na Mwenyekiti wa CCM Taifa  akisalimiana na baadhi ya wanaCCM pindi alipowasili Ofisi Ndogo ya Chama hicho, Mchana wa leo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli     na Mwenyekiti wa CCM Taifa akiongozana na Katibu Mkuu wa CCM, Ndg. Abdulrahman Kinana, Naibu Katibu Mkuu Bara, Ndg. Rajab Luhwavi mara baada ya kuwasili Ofisi ndogo ya CCM, Mtaa wa Lumumba Jijini Dar es salaam leo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli   na Mwenyekiti wa CCM Taifa akisaini Kitabu cha wageni kwenye Ofisi Ndogo ya CCM, iliopo Mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam leo agosti 12, 2016

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli   na Mwenyekiti wa CCM Taifa  akifanya Mazungumzo na Viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali, katika Ofisi Ndogo ya CCM, Mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam leo agosti 12, 2016.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli   na Mwenyekiti wa CCM Taifa akizungumza na Katibu Mkuu wa CCM, Ndg. Abdulrahman Kinana pamoja na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es salaam, Ndg. Ramadhan Madabiba.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli     na Mwenyekiti wa CCM Taifa akisikiliza jambo kutoka kwa Katibu Mkuu wa CCM, Ndg. Abdulrahman Kinana .

Mke wa Rais, Mama Jannet Magufuli akiwa na Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson.

Mke wa Rais, Mama Jannet Magufuli akiwasalimia wananchi.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza.

   

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli   na Mwenyekiti wa CCM Taifa akihutubia wana-CCM wa Dar es salaam baada ya kupokelewa kwa nderemo na vifijo Ofisi Ndogo za CCM mtaa wa Lumbumba jijini Dar es es salaam leo agosti 12, 2016.

Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam, Paul Makonda akiteja jambo na Wakuu wa Wilaya za Ilala (Sophia Mjema) na Kindondoni (Ally Hapi).

 

 

Baadaye  Rais wa ja huri ya muungano wa Tanzania na mwenyekiti wa CCM taifa Dkt. John Pombe Magufuli alipanda jukwaa la Kikundi cha TOT na kucharaza tumba, kuonyesha umahiri wake pia  katika fani ya burudani