Daily Archives: August 24, 2016

RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA MABALOZI WA CANADA, THAILAND NA AUSTRIA IKULU DAR ES SALAAM AGOSTI 24,2016

1 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea hati ya utambulisho toka kwa Balozi wa Canada Mhe Ian Myles Ikulu jijini Dar es salaam agosti 24, 2016

2

 

3 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli katika mazungumzo baada ya kupokea hati ya utambulisho toka kwa Balozi wa Canada Mhe Ian Myles Ikulu jijini Dar es salaam  agosti 24, 2016

4 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea hati ya utambulisho toka kwa Balozi wa Thailand hapa nchini Mhe. Prasottiporn Wetpraisait Ikulu jijini Dar es salaam agosti 24, 2016

5 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli  katika mazungumzo baada ya kupokea hati ya utambulisho toka kwa Balozi wa Thailand hapa nchini Mhe. Prasottiporn Wetpraisait Ikulu jijini Dar es salaam agosti 24, 2016

6 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea hati ya utambulisho toka kwa Balozi wa  Austria  hapa nchini Mhe. Harald Gunther Ikulu jijini Dar es salaam  agosti 24, 2016

7Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli  katika mazungumzo baada ya kupokea hati ya utambulisho toka kwa Balozi wa  Austria  hapa nchini Mhe. Harald Gunther Ikulu jijini Dar es salaam  agosti 24, 2016

 

 

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AMUAPISHA MKURUGENZI MKUU MPYA WA IDARA YA USALAMA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM AGOSTI 24,2016

2GDFDHDHAmiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.John Pombe magufuli akimuapisha Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Dkt. Modestus Francis Kapilimba Ikulu jijini Dar es salaam Agosti 24, 2016 

1 Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.John Pombe magufuli akishuhudia Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Dkt. Modestus Francis Kapilimba akitia saini kwenye kiapo baada ya kumuapisha Ikulu jijini Dar es salaam Agosti 24, 2016

2 Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.John Pombe magufuli akitia saini kwenye kiapo baada ya kumuapisha Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Dkt. Modestus Francis Kapilimba Ikulu jijini Dar es salaam Agosti 24, 2016

3Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.John Pombe magufuli akimukabidhi vitendea kazi Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Dkt. Modestus Francis Kapilimba baada ya kumuapisha Ikulu jijini Dar es salaam Agosti 24, 2016

55Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.John Pombe magufuli akimsikiliza  Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Dkt Modestus Francis Kapilimba akila kiapo cha maadili ya viongozi wa Umma Ikulu jijini Dar es salaam Agosti 24, 2016 Kushoto akisimamia zoezi hilo ni   Kamishina wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Jaji Mstaafu Salome Kaganda.

666 Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.John Pombe magufuli na Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan pamoja na  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki, Mwanasheria Mkuu wa  Serikali Mhe George Masaju na Katibu Mkuu kiongozi Engineer John Kijazi katika picha ya pamoja na viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama baada ya kuapishwa kwa  Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Dkt Modestus Francis Kapilimba  Ikulu jijini Dar es salaam Agosti 24, 2016

777Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.John Pombe magufuli katika picha ya pamoja na viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama baada ya kuapishwa kwa  Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Dkt Modestus Francis Kapilimba  Ikulu jijini Dar es salaam Agosti 24, 2016