Daily Archives: September 2, 2016

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA PEMBA KATIKA UWANJA WA GOMBANI YA KALE KISIWANI PEMBA SEPTEMBA 2,2016

1..Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana kwa kukumbatiana kwa furaha na Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein alipowasili katika uwanja wa Gombani ya kale Chake chake kisiwani Pemba kwa ajili ya kuhutubia wananchi wa Pemba Septemba 2,2016

1Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein kabla ya kuhutubia mkutano wa katika uwanja wa Gombani ya kale Chake chake kisiwani Pemba

5Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia mamia ya wanchi wa Pemba katika uwanja wa Gombani ya kale Chake chake kisiwani Pemba Septemba 2,2016 

RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AWASILI KISIWANI PEMBA KWA AJILI YA KUZUNGUMZA NA WAKAZI WA KISIWA HICHO SEPTEMBA 2,2016

11Rais Dk. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono viongozi mbalimbali wa mkoa wa Dar es Salaam katika uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere wakati akielekea Kisiwani Pemba

1Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili Kisiwani Pemba kwa ajili ya kuzungumza na wanachi wa Kisiwa hicho.

2 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mwanajuma Abdallah mara baada ya kuwasili kisiwani humo kwa ziara ya siku moja Septemba 2, 2016

3

 

3.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia ngoma ya kuyumbizi mara baada ya kuwasili Kisiwani Pemba.

4

 

5 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiweka shada la maua katika Kaburi la Marehemu Dkt. Omar Ali Juma Makamu wa Rais wa zamani katika awamu ya Tatu katika kijiji cha Wawi Bigilini kisiwani katika Wilaya ya Chake chake Pemba Septemba 2,2016

6.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisali kwenye kaburi hilo la Marehemu Dkt. Omar Ali Juma Makamu wa Rais wa zamani katika kijiji cha Wawi Bigilini kisiwani katika Wilaya ya Chake chake Pemba.

7 Mama Janeth Magufuli akiweka shada la maua katika kaburi la Marehemu Dkt. Omar Ali Juma Makamu wa Rais wa zamani katika kijiji cha Wawi Bigilini kisiwani katika Wilaya ya Chake chake Pemba.

8Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa mkewe   Mama Janeth Magufuli Magufuli wakiomba dua iliyokuwa ikiongozwa na Kiongozi wa dini ya Kiislamu Shekhe Mohamed Suleiman mbele ya kaburi la Marehemu Dkt. Omar Ali Juma Makamu wa Rais wa zamani katika kijiji cha Wawi Bigilini kisiwani katika Wilaya ya Chake chake Pemba.

9 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli azungumza mara baada ya tukio la uwekaji mashada katika kaburi la Marehemu Dkt. Omar Ali Juma Makamu wa Rais wa zamani katika kijiji cha Wawi Bigilini kisiwani katika Wilaya ya Chake chake Pemba.