Daily Archives: September 8, 2016

RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AENDESHA MKUTANO WA 17 WA DHARURA WA WAKUU WA NCHI ZA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM SEPTEMBA 8,2016

1 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli na viongozi wenzie  wakisimama wakati wimbo wa Jumuiya ukipigwa wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa 17 wa Dharula wa wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam Septemba 8, 2016

2Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli akiongea Mkutano wa 17 wa Dharula wa wakuu wa Nchi za Jumuiya hiyo  katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam Septemba 8, 2016

3

 

DSC_9440

 

IMGS0796Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli akihutubia Mkutano wa 17 wa Dharula wa wakuu wa Nchi za Jumuiya hiyo  katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam Septemba 8, 2016

IMGS0821 Waziri Mkuu Mstafu Jaji Joseph Sinde Warioba (kati) na Katibu Mkuu Mstaafu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Balozi Juma Mwapachu (kushoto) wakiwa na viongozi wastaafu wa Jumuiya

1..

 

3

 

2Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali wa jumuiya hiyo waliohudhuria Mkutano wa 17 wa Dharula wa wakuu wa Nchi za Jumuiya hiyo  katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam Septemba 8, 2016  

WAKUU WA NCHI WAHUDHURIA MKUTANO WA 17 WA DHARURA WA WAKUU WA NCHI WA JUMUIYA YA AFIKA MASHARIKI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM SEPTEMBA 8,2016

 

1. Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili ukumbini

2jdjkcjlhcjlchMwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpokeaakimkaribisha Rais mstaafu wa Tanzania wa awamu ya tatu Benjamini Mkapa kuhudhuria Mkutano wa 17 wa dharura wa wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afika Mashariki Ikulu jijini dar es salaam Septemba 8,2016

3 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea Rais wa Rwanda Paul Kagame kuhudhuria Mkutano wa 17 wa dharura wa wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afika Mashariki Ikulu jijini dar es salaam Septemba 8,2016 (katikati ni Mpiga picha wa Rais John Chacha)

5Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea makamu wa Rais wa Kenya Wiliamu Ruto kuhudhuria Mkutano wa 17 wa dharura wa wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afika Mashariki Ikulu jijini dar es salaam Septemba 8,2016

6Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea Rais wa Uganda Yoeri Kaguta Mseveni kuhudhuria Mkutano wa 17 wa dharura wa wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afika Mashariki Ikulu jijini dar es salaam Septemba 8,2016

unnamed-1 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Nchi za Afrika Mashariki Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwakilishi wa Sudan ya Kusini muda mfupi kabla ya kuanza kwa mkutano wa 17 wa dharula wa wakuu wa jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam Septemba 8, 2016

unnamed-2Mwenyekiti wa Jumuiya ya Nchi za Afrika Mashariki Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwakilishi wa Burundi Waziri wa Mambo ya Nje wa Burundi Mhe. Alain Nyamitwe muda mfupi kabla ya kuanza kwa mkutano wa 17 wa dharula wa wakuu wa jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam Septemba 8, 2016

1111Mwenyekiti wa Jumuiya ya Nchi za Afrika Mashariki Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Katibu Mkuu wa Jumuiya Bw. Liberat Mfumukeko muda mfupi kabla ya kuanza kwa mkutano wa 17 wa dharula wa wakuu wa jumuiya Afrika Mashariki katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam Septemba 8, 2016

unnamed-3Mwenyekiti wa Jumuiya ya Nchi za Afrika Mashariki Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha ndani kabla ya kuanza kwa mkutano wa 17 wa dharula wa wakuu wa jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam Septemba 8, 2016