Daily Archives: September 8, 2016

RAIS YA UGANDA YOWERI KAGUTA MUSEVENI AWASILI DAR ES SALAAM KUHUDULIA MKUTANO WA WAKUU WA NCHI JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI SEPTEMBER 7,2016

m1 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimtambulisha Rais ya Uganda Yoweri Kaguta Museveni kwa wasaidizi wake alipowasili Ikulu jijini Dar es salaam

m2 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea na kimkaribisha Rais ya Uganda Yoweri Kaguta Museveni Ikulu jijini Dar es salaam

m3Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Rais ya Uganda Yoweri Kaguta Museveni katika picha ya pamoja na Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki, kikanda na kimataifa Dkt. Auguatine Mahiga (kulia) na Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango Ikulu jijini Dr es salaam

m4Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika mazungumzo na Rais ya Uganda Yoweri Kaguta Museveni alipowasili Ikulu Dar es salaam Septemba 7,2016 tayari kuhudhuria Mkutano wa wa Jumuiya hiyo