Daily Archives: October 1, 2016

AMIRI JESHI MKUU RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI AFUNGA ZOEZI LA AMBHIBIOUS LANDING KATIKA KILELE CHA MAADHIMISHO YA MIAKA 52 YA JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA (JWTZ) HUKO BAATINI, BAGAMOYO MKOA WA PWANI SEPTEMBA 30, 2016

meli2

 

meli

 

meli3Melivita, Vifaru vikiwa katika zoezi la Ambhibious Landing katika kilele cha maadhimisho ya miaka 52 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) huko Baatini, Bagamoyo mkoa wa Pwani leo Septemba 30, 2016

1

 

1.Amiri  Jeshi Mkuu Rais Dkt John Pombe Magufuli na meza kuu wakipiga saluti wakati wa wimbo wa Taifa wakati wa kufunga Zoezi la medani katika kilele cha maadhimisho ya miaka 52 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) huko Baatini, Bagamoyo mkoa wa Pwani leo Septemba 30, 2016