Daily Archives: October 3, 2016

RAIS JOSEPH KABILA WA JAMHURI YA KIDEMOKRASIA YA CONGO AWASILI NCHINI NA KUPOKEWA NA MWENYEJI WAKE RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI OCTOBA 3,2016

 
 
 
 
 
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Joseph Kabila mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa kimataifa wa Ndege wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere JNIA.
 
 
 
 
 
 
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na mgeni wake wake Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Joseph Kabila wakati nyimbo za Taifa za mataifa yote mawili zikipigwa kabla ya ukaguzi wa gwaride lililoandaliwa kwa ajili ya heshima yake. 
 
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Joseph Kabila akikagua gwaride la heshima lililoandaliwa kwa ajili yake mara baada ya kuwasili uwanjani hapo.
 
 
 
 
 
 
 
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Joseph Kabila akiangalia kikundi cha ngoma mara baada ya kuwasili uwanjani hapo.
 
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Joseph Kabila akipunga mkono wakati kikundi cha ngoma za asili kilipokuwa kinatumbuiza uwanjani hapo

RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MAKAMU WA RAIS WA CUBA SALVADOR VALDES MESA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM OCTOBA 3,2016

1...

 

2Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Makamu wa Rais wa Cuba Salvador Valdes Mesa mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.

3Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuonesha Kinyago cha Twiga Makamu wa Rais wa Cuba Salvador Valdes Mesa kabla ya kumkabidhi kama zawadi Ikulu jijini Dar es Salaam.