Daily Archives: October 8, 2016

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI MGENI RASMI, KWENYE SHEREHE ZA MABOHORA ZA KUADHIMISHA MWAKA MPYA WA KIISLAMU 1438 KATIKA MSIKITI WA BOHORA UPANGA JIJINI DAR ES SALAAM OKTOBA 08,2016

1

 

1...Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsalimia kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya Bohora Duniani Mtukufu Dkt. Syedna Mufaddal Saifuddin alipohudhuria kwenye sherehe za Mabohora za kuadhimisha Mwaka Mpya wa kiislamu 1438 katika Msikiti wa Bohora Upanga jijini Dar es salaam Oktoba 08,2016 

2

 

2

 

3Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia kwenye sherehe za Mabohora za kuadhimisha Mwaka Mpya wa kiislamu 1438 katika Msikiti wa Bohora Upanga jijini Dar es salaam Oktoba 08,2016

1kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya Bohora Duniani Mtukufu Dkt. Syedna Mufaddal Saifuddin akihutubia waumini wa madhehebu ya Bohora kwenye sherehe za Mabohora za kuadhimisha Mwaka Mpya wa kiislamu 1438 katika Msikiti wa Bohora Upanga jijini Dar es salaam Oktoba 08,2016

4

 

5Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya Bohora Duniani Mtukufu Dkt. Syedna Mufaddal Saifuddin alipohudhuria kwenye sherehe za Mabohora za kuadhimisha Mwaka Mpya wa kiislamu 1438 katika Msikiti wa Bohora Upanga jijini Dar es salaam Oktoba 08,2016

7

 

9

 

10

 

11

 

12Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na waumini wa Madhehebu ya Bohora kwenye sherehe za Mabohora za kuadhimisha Mwaka Mpya wa kiislamu 1438 katika Msikiti wa Bohora Upanga jijini Dar es salaam baada ya kuwahutubia Oktoba 08,2016

RAIS DKT JOHJN POMBE MAGUFULI AKUTANA NA MABALOZI WANAOIWAKILISHA TANZANIA NJE YA NCHI IKULU DAR ES SALAAM OKTOBA 7,2016

1

 

2Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli  akiongea na Mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania nje ya nchi alipokutana nao Ikulu jijini Dar es salaam Oktoba 7, 2016

3Mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania nje ya nchi alipokutana na Rais Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam Oktoba 7, 2016

DSC_8016Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na  Balozi wa Tanzania nchini Marekani Wilson Masilingi baada ya kuongea na Mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania nje ya nchi alipokutana nao Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 7, 2016

1JHCFGFGFGHRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Eng. John Kijazi, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,Kanda na Kimataifa, Balozi  Dkt. Augustine Mahiga na Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt Hamisi Kigwangwalla katika picha ya kumbukumbu   na Mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania nje ya nchi alipokutana nao Ikulu jijini Dar es salaam Oktoba 7, 2016