Daily Archives: October 13, 2016

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI NA WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KASSIM MAJALIWA WAAGANA NA KIONGOZI MKUU WA MADHEHEBU YA BOHORA DUNIANI MTUKUFU DKT. SYEDNA MUFADDAL SAIFUDDIN IKULU JIJINI DAR ES SALAAM OKTOBA 13,2016

1Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe akimpokea kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya Bohora Duniani Mtukufu Dkt. Syedna Mufaddal Saifuddin Ikulu jijini Dar es salaam

2

 

 

3Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya Bohora Duniani Mtukufu Dkt. Syedna Mufaddal Saifuddin akikabidhi mfano wa hundi kwa ajili ya kusaidia maafa ya waathirika wa tetemeko la ardhi Mkoani Kagera Ikulu jijini Dar es salaam kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya Bohora Duniani Mtukufu Dkt. Syedna Mufaddal Saifuddin amekabidhi hunzi zenye jumla ya USD 250

5

 

 

4kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya Bohora Duniani Mtukufu Dkt. Syedna Mufaddal Saifuddin akimuomba Dua kwa  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kassim Majaliwa wakati alipofika Ikulu jijini Dar es salaam kukabidhi Mchango wake wa kusaidia maafa ya Kagera Oktoba 13,2016

6

 

 

7.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kassim Majaliwa wakishukuru baada ya Dua  

8Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuonyesha Taswira ya Simba kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya Bohora Duniani Mtukufu Dkt. Syedna Mufaddal Saifuddin Ikulu jijini Dar es salaam

9Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli nawaziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kassim Majaliwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya Bohora Duniani Mtukufu Dkt. Syedna Mufaddal Saifuddin Ikulu jijini Dar es salaam

10Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kiongozi akiagana Mkuu wa Madhehebu ya Bohora Duniani Mtukufu Dkt. Syedna Mufaddal Saifuddin Ikulu jijini Dar es salaam