Daily Archives: November 11, 2016

MKE WA RAIS MAMA JANETH MAGUFULI ARUHUSIWA KUTOKA KATIKA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI ALIPOKUWA AMELAZWA NOVEMBA 11,2016

2Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiwa anatoka kwenye Wodi ya Sewahaji katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili na kurejea nyumbani mara baada ya kuruhusiwa baada ya kupata nafuu. Mama Janeth Magufuli alikuwa amelazwa hospitalini hapo tangu tarehe 9 Novemba 2016.

4Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akimshukuru Dkt. Edward Ngwalle, Daktari wa Rais mara baada ya kuruhusiwa kutoka hospitalini hapo na kurejea nyumbani baada ya kupata nafuu.

3Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akimshukuru Dkt. Raymond Mwenesano, Mkuu wa Idara ya Wagonjwa wa nje na Daktari Bingwa wa magonjwa ya ndani mara baada ya kuruhusiwa kutoka hospitalini hapo na kurejea nyumbani baada ya kupata nafuu 

5Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akimshukuru Dkt. Benard Kepha ambaye Daktari Bingwa wa Magonjwa ya dharura na ajali katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili mara baada ya kuruhusiwa kutoka na kurejea nyumbani mara baada ya kupata nafuu

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AONGOZA MAMIA YA WANANCHI KUAGA MWILI WA MAREHEMU SAMWEL SITTA KARIMJEE JIJINI DAR ES SALAAM NOVEMBA 11,2016

1Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda akimpokea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipowasili kuwaongoza waombolezaji kuaga mwili wa Marehemu Samwel John Sitta Spikaal wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mstaafu katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam Novemba 11,2016

2

 

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AONGOZA MAMIA YA WANANCHI KUAGA MWILI WA MAREHEMU SAMWEL SITTA KARIMJEE JIJINI DAR ES SALAAM NOVEMBA 11,2016Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimia na Makamu wa Rais Samia Hassan Suluhu na Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Benjamin Wiliam Mkapa alipofika kuwaongoza waombolezaji kuaga mwili wa Marehemu Samwel John Sitta Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam Novemba 11,201

1fgsfsxgxvgRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwaongoza waombolezaji kuaga mwili wa Marehemu Samwel John Sitta Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam Novemba 11,2016

unnamed-1Rais Mstaafu wa awamu awamu ya nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiaga mwili wa Marehemu Samwel John Sitta Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam Novemba 11,2016

3Rais Mstaafu wa awamu awamu ya tatu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Benjamin Wiliam Mkapa na mkewe Mama Anna Mkapa wakiaga mwili wa Marehemu Samwel John Sitta Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam Novemba 11,2016

unnamed Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt . John Pombe Magufuli akimfariji Mama Margareth Sitta, Mjane wa aliyekuwa Spika Mstaafu Marehemu Samwel John Sitta alipoongoza mamia ya waombolezaji kuuaga mwili wa kiongozi huyo mkongwe katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam  Oktoba 11, 2016

unnamed-1Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt . John Pombe Magufuli akimpa pole binti wa  aliyekuwa Spika Mstaafu Marehemu Samwel John Sitta alipoongoza mamia ya waombolezaji kuuaga mwili wa kiongozi huyo mkongwe katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam Oktoba 11, 2016