Monthly Archives: December 2016

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AWASILI MKOANI SINGIDA DESEMBA 24,2016 PIA ANATARAJIWA KUSHIRIKI KATIKA IBADA YA KRISMASI SIKU YA KESHO TAREHE 25/12/2016 MKOANI HUMO

1gsfsfsgsg Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi mara baada ya kuwasili mkoani humo Desemba 24,2016 Pia Rais Dkt. Magufuli anatarajiwa kushiriki katika Ibada ya Krismasi mkoani humo hapo Kesho.

unnamed-2 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisaini Kitabu cha Wageni mara baada ya kuwasili mkoani Singida na kupokelewa na Mkuu wa mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi.

unnamed-3Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi akielezea ujio wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli mkoani humo ambapo pamoja na mambo mengine atashiriki katika Ibada ya Siku ya Krismasi katika Kanisa mojawapo mkoani Singida.

 

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AWAAPISHA MWENYEKITI WA TUME YA UCHAGUZI, KAMISHNA WA MAADILI NA MAJAJI WANNE WAPYA WA MAHAKAMA YA RUFANI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM DESEMBA 23,2016

unnamedRais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Jaji Rehema Kiwanga Mkuye  kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 23, 2016

unnamed-1 Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiweka sahihi hari ya kiapo baada ya kumuapisha Jaji Rehema Kiwanga Mkuye  kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 23, 2016

unnamed-2Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha jaji Sivangilwe Sikalalilwa Mwangosi  kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 23, 2016

unnamed-3 Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha jaji Dkt. Gerald Ndika kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 23, 2016

unnamed-4Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimwapongeza baada ya kuwaapisha kuwa Majaji  wa Mahakama ya Rufaa Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 23, 2016

unnamed-6 Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Jaji Jackobs Mwambegele  kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 23, 2016

unnamed-7

 

unnamed-9Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na wageni waalikwa baada ya kuwaapisha Majaji  wa Mahakama ya Rufaa Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 23, 2016

10hgsgsgsgsRais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mhe Angellah Kairuki, Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, katika picha ya pamoja na Majaji  wapya wanne wa Mahakama ya Rufaa walioapishwa Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 23, 2016