Daily Archives: December 24, 2016

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AWASILI MKOANI SINGIDA DESEMBA 24,2016 PIA ANATARAJIWA KUSHIRIKI KATIKA IBADA YA KRISMASI SIKU YA KESHO TAREHE 25/12/2016 MKOANI HUMO

1gsfsfsgsg Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi mara baada ya kuwasili mkoani humo Desemba 24,2016 Pia Rais Dkt. Magufuli anatarajiwa kushiriki katika Ibada ya Krismasi mkoani humo hapo Kesho.

unnamed-2 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisaini Kitabu cha Wageni mara baada ya kuwasili mkoani Singida na kupokelewa na Mkuu wa mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi.

unnamed-3Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi akielezea ujio wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli mkoani humo ambapo pamoja na mambo mengine atashiriki katika Ibada ya Siku ya Krismasi katika Kanisa mojawapo mkoani Singida.