Daily Archives: January 18, 2017

RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AMUAPISHA PROFESA IBREAHIM HAMISI JUMA KUWA KAIMU JAJI MKUU WA TANZANIA JANUARI 18,2017

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha  Profesa  Ibrahim Hamisi Juma kuwa Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam Januari 18, 2017. Anayeshuhudia kushoto ni Jaji Mkuu mstaafu Mohamed Chande Othman

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimkabidhi nyenzo za kazi baada ya kumuapisha Profesa  Ibrahim Hamisi Juma kuwa Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatano Januari 18, 2017. Anayeshuhudia kushoto ni Jaji Mkuu mstaafu Mohamed Chande Othman. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimpongeza baada ya kumuapisha  Profesa  Ibrahim Hamisi Juma kuwa Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatano Januari 18, 2017. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, Katibu Mkuu Wizara ya Sheria na Katiba Profesa Sifuni Mchome na Naibu wake Mhe. Amon Mpanju wakiwa katika picha ya pamoja na majaji wa mahakama ya Rufaa, Majaji wa Mahakama kuu baada ya kumuapisha Profesa  Ibrahim Hamisi Juma kuwa Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatano Januari 18, 2017. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, katika picha ya pamoja na majaji wa mahakama ya Rufaa na Majaji wa Mahakama kuu baada ya kumuapisha Profesa  Ibrahim Hamisi Juma kuwa Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatano Januari 18, 2017. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, katika picha ya pamoja na watendaji wa Mahakama baada ya kumuapisha Profesa  Ibrahim Hamisi Juma kuwa Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatano Januari 18, 2017. 

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AFUNGUA VIWANDA VIWILI MKOANI SHINYANGA JANUARI 13,2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akikata utepe kuashiria kufungua rasmi Kiwanda cha kutengeneza mifuko ya Sandarusi cha Fresho Investment Compaany limited cha Mkoani Shinyanga. Wengine katika picha ni mkuu wa mkoa wa Shinyanga Zainabu Taleck wakwanza kulia mwenye kilemba , mbunge wa Shinyanga mjini Stephen Masele wakwanza kushoto, pamoja na mmiliki wa kiwanda hicho Fred Shoo watano kutoka kulia.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akivuta utepe kwenye jiwe la ufunguzi wa kiwanda hicho cha kutengeneza mifuko ya Sandarusi cha Fresho Investment Compaany limited cha Mkoani Shinyanga. Kulia ni mmiliki wa Kiwanda hicho Fred Shoo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akimsikiliza mmiliki wa wa kiwanda hicho cha Fresho, Fred Shoo kuhusu malighafi ya kutengenezea mifuko ya Sandarusi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akiangalia moja ya hatua ya utengenezaaji wa mifuko ya Sandarusi katika kiwanda hicho cha Fresho mkoani Shinyanga.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akiangalia moja ya hatua za mwisho katika utengenezaaji wa mifuko ya Sandarusi katika kiwanda hicho cha Fresho mkoani Shinyanga.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akiangalia moja ya hatua za mwisho katika utengenezaaji wa mifuko ya Sandarusi katika kiwanda hicho cha Fresho mkoani Shinyanga.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akiwa amechuchumaa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali pamoja na wafanyakazi wa Kiwanda hicho cha Kutengeneza mifuko ya Sandarusi mkoani Shinyanga.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akimpongeza Salum Hamis Mbuzi mmiliki wa Kiwanda cha kutengeneza Vinywaji cha Jambo food product mara bada ya kukizindua mkoani Shinyanga.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akikata utepe kuashiria kufungua rasmi Kiwanda cha kutengeneza vinywaji cha Jambo food product mara bada ya kukizindua mkoani Shinyanga.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akiwagawia vinywaji viongozi mbalimbali wa dini mara baada ya kuzindua kiwanda hicho mkoani Shinyanga.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akiwagawia vinywaji kikundi cha ngoma za asili cha mkoani Shinyanga mara baada ya kuzindua kiwanda hicho cha Vinywaji mkoani Shinyanga.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akisikiliza maelezo kutoka kwa mmiliki wa kiwanda cha kutengeneza vinywaji cha Jambo food product Salum Hamis Mbuzi mara bada ya kukizindua mkoani Shinyanga.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akiwasalimia kwa kuwapungia mkono wakazi wa Igunga mkaoni Tabora