Daily Archives: January 19, 2017

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AKUTANA NA RAIS MSTAAFU BENJAMIN MAKAPA NA WAZIRI WA MAENDELEO WA DENMARK IKULU JIJINI DAR ES SALAAM JANUARI 19,2017

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimlaki Rais Mstaafu wa awamu ya Tatu Mhe. Benjamin William Mkapa Ikulu jijini Dar es salaam Januari 19, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akizungumza na Rais Mstaafu wa awamu ya Tatu Mhe. Benjamin William Mkapa Ikulu jijini Dar es salaam Januari 19, 2017 alipofika Ikulu kwa Mazungumzo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri wa Maendeleo wa Denmark Mhe. Martin Bille Herman Ikulu jijini Dar es salaam Januari 19, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Waziri wa Maendeleo wa Denmark Mhe. Martin Bille Herman Ikulu jijini Dar es salaam Januari 19, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli katika picha ya kumbukumbu  na Waziri wa Maendeleo wa Denmark Mhe. Martin Bille Hermanna ujumbe wake pamoja na  Waziri wa Fedha na Mipango Dkt Philip Mpango na Katibu Mkuu Wizara hiyo Mhe. Dotto James  Ikulu jijini Dar es salaam  Januari 19, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana  na Waziri wa Maendeleo wa Denmark Mhe. Martin Bille Herman wakiwa pamoja na  Waziri wa Fedha na Mipango Dkt Philip Mpango na Katibu Mkuu Wizara hiyo Mhe. Dotto James  Ikulu jijini Dar es salaam  Januari 19, 2017