Daily Archives: January 23, 2017

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANI DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AMPOKEA MHE. RECEP TAYYIP ERDOGAN RAIS WA JAMHURI YA UTURUKI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM JANUARI 23,2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea Ikulu Jijini Dar es salaam Mhe. Recep Tayyip Erdogan Rais wa Jamhuri ya Uturuki, Januari 23,2017 

Rais wa Jamhuri ya Uturuki Mhe Recep Tayyip Erdogan na mkewe wakipokea mashada ya maua kutoka kwa watoto walipowasili Ikulu jijini Dar es salaam  Januari  23, 2017 kwa mapokezi rasmi na mazungumzo na mwenyeji wao Rais Dkt John Pombe Magufuli.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwalaki Rais wa Jamhuri ya Uturuki Mhe Recep Tayyip Erdogan na mkewe Emine Erdogan walipowasili Ikulu jijini Dar es salaam  Januari  23, 2017 kwa mazungumzo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ameongozana na Mkewe wakiwapokea Ikulu Jijini Dar es salaam Mhe. Recep Tayyip Erdogan Rais wa Jamhuri ya Uturuki na Mkewe  Januari 23,2017 Rais Recep Tayyip Erdogan yupo ziara ya siku mbili Nchini Tanzania 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt. John Pombe Magufuli na  Mhe. Recep Tayyip Erdogan Rais wa Jamhuri ya Uturuki wakati wa wimbo wa Taifa Januari 23,2017

Mhe. Recep Tayyip Erdogan Rais wa Jamhuri ya Uturuki akikagua gwaride lililoandaliwa na jeshi la ulinzi kwa Heshima yake Ikulu Jijini Dar es salaam Januari 23,2017

  Mhe. Recep Tayyip Erdogan Rais wa Jamhuri ya Uturuki akipungia mkono wananchi waliojitokeza kumpokea Ikulu jijini Dar es salaam Januari 23,2017

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Uturuki Mhe Recep Tayyip Erdogan wakipiga ngoma Ikulu jijini Dar es salaam Januari  23, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwazawadia Kinyago cha Umoja na Mchoro wa Mlima Kilimanjaro Rais wa Jamhuri ya Uturuki Mhe Recep Tayyip Erdogan na mkewe Emine Erdogan walipowasili Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari  23, 2017 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt. John Pombe Magufuli na  Mhe. Recep Tayyip Erdogan Rais wa Jamhuri ya Uturuki wakifurahia jambo  

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt. John Pombe Magufuli na  Mhe. Recep Tayyip Erdogan Rais wa Jamhuri ya Uturuki wakiteta jambo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt. John Pombe Magufuli na  Mhe. Recep Tayyip Erdogan Rais wa Jamhuri ya Uturuki wakifurahia jambo

Rais wa Jamhuri ya Uturuki Mhe Recep Tayyip Erdogan  akiongea na mwenyeji wake Rais Dkt John Pombe  Magufuli katika kongamano la wawekezaji wa Tanzania na Uturuki katika ukumbi wa BoT jijini Dar es salaam   Januari  23, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na akiongea katika kongamano la wawekezaji wa Tanzania na Uturuki katika ukumbi wa BoT jijini Dar es salaam Januari  23, 2017

Rais wa Jamhuri ya Uturuki Mhe Recep Tayyip Erdogan  akiongea katika kongamano la wawekezaji wa Tanzania na Uturuki katika ukumbi wa BoT jijini Dar es salaam   Januari  23, 2017

Rais wa Jamhuri ya Uturuki Mhe Recep Tayyip Erdogan  na mwenyeji wake Rais Dkt John Pombe  Magufuli wakishuhudia ubadilishanaji hati baada ya kusaini baina ya mwenyekiti wa Wafanyabiashara wa sekta binafsi Dkt Reginald Mengi na kiongozi wa msafara wa wafanyabiashara wa Uturuki katika kongamano la wawekezaji wa Tanzania na Uturuki katika ukumbi wa BoT jijini Dar es salaam Januari  23, 2017