Daily Archives: February 10, 2017

RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AHUTUBIA KATIKA SHEREHE ZA MWAKA MPYA KWA MABALOZI (NEW DIPLOMATIC SHERRY PARTY) IKULU JIJINI DAR ES SALAAM FEBRUARI 10,2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia katika Sherehe za Mwaka mpya kwa Mabalozi(New Diplomatic Sherry Party) Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Augustine Mahiga katika picha ya pamoja na Mabalozi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa nchini mara baada ya Sherehe za Mwaka mpya kwa Mabalozi(New Diplomatic Sherry Party) Ikulu jijini Dar es Salaam. Februari 10,2017